Mungu akufanyie wepes mtoto mzur naomba Mungu awashangze watu kupitia we🥰🥰🥰
2026-07-13 16:41:35
118
user mary@cent :
mungu najua unaniskià aki naomba kw moyo mkunjifu najua ni wengi unawaponya siku ya leo aki huyu wetu usimupite muponye hukimanisha kwa jina LA yesu nimeomba na kuamini Amen 🙏
2026-07-16 05:41:08
35
Isman Baby Girl :
Dah kanachoka katoto ka watu 🥺mwenyez mungu azidi kukutunza @lucy wang 🥰🥰🥰
2026-07-13 03:00:28
58
princes ivone💫💫💃😜 :
huyu mtoi namwombea awe shujaa 💞💞💞
2026-07-12 20:38:51
24
official fatmah :
me nakapenda haka katoto jamn mashaallah allah akutimizie kula hitaji la moyo wako mwanangu mzur nakupenda sana mshunu wangu love you💋💋
2026-07-15 20:09:46
5
Mo cute🥰❣️ :
jamen karemboo kwelii kanasumbuliwa na nn mungu wa mbingun akaponyeee🙏🙏😥
2026-07-15 10:13:53
12
Actress•kadala :
Eeeh mungu muangalie huyu malaika wako na umuondolee haya mateso umpe afya njema na umri mrefu
2026-07-14 09:48:07
14
Marry Lalu :
jaman, huzuni pole mtoto mzuri mwenyezi mungu akufanyie wepesi upone haraka chimomy🥰😥
2026-07-13 16:39:20
15
Mamu wa muu💕 :
amechoka kanywa dawa jaman mungu uhurumie huyu mtt mponye maradhi yanayomsumbuwa ukape Afya njema
2026-07-14 09:10:01
8
Hidaya Mwaisela :
upone mumy wangu kwa jina la yesu
2026-07-13 16:13:09
12
Rukia rajabu :
atapona huyu Mungu ni mwema
2026-07-12 20:23:29
8
khlpa Aisha :
so cut bby 🥰🥰
2026-07-13 19:33:29
2
The iron 💫🥀 :
mungu nakuomba umponye huyu malaika wako🙏🙏
I love the kid so much ❤️❤️🫂 and God has a reason for you my love ❤️
2026-07-12 22:56:27
6
user4654012706387 :
mashaallah mtt mzr tunaokuombea kwa mwenyezi mungu utapona
2026-07-13 10:37:06
7
Halima Halima :
jmn pole mamy
2026-07-14 14:54:43
2
Mariamu Msumari :
jaman mungu watunze watoto wetu wape afya njema wapone wanapoumwa 🙏❤️
2026-07-15 20:18:09
3
Lay :
Mungu amsaidie jamani..natamani kumuona😊
2026-07-15 18:28:03
1
baby cralah 🥰♥️ :
pole kipenz 🥰♥️
2026-07-15 19:31:16
1
To see more videos from user @abeldonseenu10, please go to the Tikwm
homepage.