Malizaneni wenyewe bhana ,kila mtu ana lake saiv😂😂😂
2026-07-14 11:38:03
163
Abuu :
Huyu dada ana akili timamu hadanganyi shekhe ahudumie mtoto
2026-07-14 13:03:58
72
Nahai :
imeandikwa kadi hii haiuzwu
2026-07-14 09:23:58
71
halimajfour :
mmmmmmmmmm
2026-07-14 13:20:00
1
salmah❤️ :
mie nipo pamoja na uyu dada
2026-07-14 13:01:34
39
Ukhty Amina :
Tatizo tunalosisi wanawake..tunawasumbua sana hawa mashekh.tunajua km mashekh wanafamiliya zao.lkn ikitokea khitirafu za kibinaadamu hatuna subiraa..leo tunawadhalilisha mitandaoni.
2026-07-14 08:16:46
62
merry Meenah🥰 :
ukistaajabu ya Facebook utaona ya tiktok 😂
2026-07-14 14:51:18
0
Adela David :
Jicho mashallah
2026-07-14 12:00:09
2
Imran Fundi :
dooooooh
2026-07-14 14:31:36
0
best_design_fashion :
Tuambie kwanza mlikutanaaaa wapi tupe story ya penz kwanzaa
2026-07-14 13:22:54
23
SAS04 :
sheikh achukue mtoto tunajua kuna kukosea
2026-07-14 12:14:36
21
Abu :
Twayyib bratha.......
2026-07-14 13:47:10
0
🦋Nash_Mahela🦋 :
we mwenyewe ata kujieleza pia hujui
2026-07-14 04:19:46
34
Mohamed Alkharous :
Huu ni mtihani mkubwa kwatu
sasa hivi mashekh wetu wanaandamwa sana na hii kama haikukomesha basi tusishangae muda sio mrefu atatokea atakae mdhalilisha Mufti lazima tuwe makini sana na hili wimbi ambalo limeibuka sasa hivi lengo kuwadhalilisha masheikh wetu yameanza kwa Kishki sasa Walid sijui kesho atakuwa nani naomba mamlaka husika zichukue hatua haraka kabla hapajaharibika tunaelekea kubaya sana
2026-07-14 13:08:32
10
Meghani shareelloyd250🇷🇼🇹🇿 :
Naipenda sana dini yangu lkn ikifika kwenye kuzaa bila ndoa,tunaambiwa hao watoto walozaliwa bila ndoa niwatoto wakina mama tu baba hawahusiki kabisa.minaona kama nihayo hayo yalotokea kwa dada yetu,ila kwenye hili sio sawa.
2026-07-14 10:50:36
8
radhiya musa :
musiyojuwa tabia ya za mashekh kwenye ndoa baadhi ya mashekhe mutatetea sana mm mungu anifundishe kunyamaza
2026-07-14 11:07:57
15
Esha cosmetics 155 :
mi hata usemeje sitoacha kumpenda huyu sheikh😁
2026-07-14 13:09:11
6
Babu Ally :
mbona kama siyo mtanzania kwanza
2026-07-14 10:00:10
11
روضة :
tulia basi tusome vizur
2026-07-14 11:46:15
5
BIN HAMDOUN :
lete cheti cha ndoa
2026-07-14 10:46:17
7
ZABURI 23 1-6👏 :
Lete cheti cha ndo usitochoshe sisi pia mbona ulivyokuwa unaenda kufanywa mbona hukuja huku bwana tuwache sisi
2026-07-14 11:16:33
13
halima dee :
me ninachojua Sheikh Walid nampenda sana napenda mawaidha yake hayo mengine mimi siyajui
2026-07-14 14:46:30
5
mamii :
usiombe kuzanao hawa wenzetu waipande wapili daa sisi tunaachwa nawatto tunaleya tena simoja hatushindani namtu
2026-07-14 09:48:55
5
Kido mpemba :
ndio umtangazie kweny tik tok
2026-07-14 10:48:47
1
fuadabdallah26 :
dada sio sawa
2026-07-14 12:57:50
0
To see more videos from user @chief_maalim_mpiri1, please go to the Tikwm
homepage.