stop!! writing such messages to scare pple.. its actually haram
2026-09-21 16:52:58
2
mtoto wa eita :
We are very wrong, sheikh, to say that whoever crosses without posting should be cursed. These are lessons we are just giving, but what about you, sir?
2026-09-22 18:47:17
0
Cassandra_venymoll :
sikuhizi watu wanaitumia Quran kutishia watu ili wapate shares na likes jamani hiyo dini mnayoileta hapa mbona sio dini tunafundishwa yaan mtu unamtisha mwenzako ili upate utakacho ulaaniwe wewe unaelazimisha
2026-08-30 21:14:05
352
Ummy..Lamiss :
kwani mtu hawezi kupost tu quran na mawaidha mpk waandike maneno ya laana???
2026-09-02 13:30:51
169
Nacy Mgunya :
mashallaah
2026-09-22 16:57:32
0
brilliant said :
Aya mambo yakupeana laana ndio tuliyakimbia facebook 😂
2026-09-04 12:11:41
53
official Khan :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-04 08:41:30
71
f.ate♡ :
Asalaam aleykum, kuna kitu bado haujakijua... ni hv usitafute comments au likes kwa kuwalaani watu kwasababu kushare au kutokushare Qur'an sio kipimo cha kwamba watu hawamuamini Mungu bali imani pekee ndo inaweza kuthibitisha hilo.
2026-08-22 11:46:28
81
user5945201539772 :
si dua za kuombeana izo sijui ni kama broo au sister dini hulinganiwa kwa maneno ya heshma na utiifu kwnz hakuna kulazimishana katika dini mimi watu wananikera apo wanaposema mtu alaaniwe ni chaguo la mtu mimi ni muislamu lakini sikuwaombea watu ivo vby
2026-08-31 06:48:37
30
Sammaira :
musiwe mnaongea maneno hayo jaman sio vizuri
2026-09-10 17:21:42
7
Halil hossam :
Usitutishe 😁😁
2026-08-07 07:02:52
14
ramadanjuma7706 :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-06 11:38:26
7
bol boy :
uyu jamaa mi naona post zake zote ni hiizi analazima watu wandike sisi kuran haijatuambia tuandike imetuambia tukae kimya tuiskilz
2026-09-04 09:07:50
26
&&&**** :
uislamu umekataza kuombeana laana ndugu mwenye hukumu iyo ni allah peke ake
2026-07-14 21:34:05
31
user77163880441056 :
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh,mi sidhani kama ulichoandika hapo kina mashiko kama we umeamua kupost ili waislam wasikilize na kuisoma Qur'an fanya hivyo kwaajil ya Allah na yeye ndiye atakulipa lakini sidhani kama una uwezo wa kumlaani mtu maana pia sidhani hata manabii,mitume,maswahaba nawote waliopita kabla yetu ambao waliipigania hii dini tukufu walitumia vitisho na nguvu kubwa ya aina hii walitumia busara na hekma na ndio maana watu mamia kwa maelfu kutokana na "Imaan"dhabiti kutokana na daa'wa walisilimu na kuipigania dini hii tukufu na ndio maana leo hii imesimama wangetumia hii njia yenu sasa hivi mnayotumia ya vitisho na mikwara sidhan kama wangepata wafuasi acheni kutumia dini vibaya
2026-09-06 18:41:41
13
💢˚ 𝓜𝓪𝔀𝓝𝓮𝓮 ˚💫💝 :
Astaghfirullah, dini hulinganiwa kwa maneno mazuri na wala si kwa shuruti
jamani walinganiaji angalieni njia mnazotumia zicje zkawafanya mkaingia kwenye dhambi badala ya thawabu
2026-08-29 20:24:09
15
Shufaa001 :
Kwani mpk useme mtu alaniwe usmuhukum mtu miachie allah mwenyew
2026-09-04 09:27:11
5
Mimahmudy@cutegirl :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-02 21:39:49
5
young malki kidd :
allah pekeake ndiyo nywene kutoa hukumu
2026-07-31 15:32:28
5
Tuma :
kila anae muombea mweziwe duwa mbaya na yy humrudia usimfundishe mungu hta kma lkn unamaneno makali
2026-08-31 20:44:41
9
Shufaina jafali :
taqbir
2026-09-20 07:40:30
0
TheRealRose 👑❤️🫂 :
mnatishia watu ingali nyie video za watu wengine za mungu hamlike wala kushare acheni kumkufulu mungu🥺
2026-09-11 12:22:41
0
hija mndeme :
Allahakbar
2026-09-02 18:08:49
2
Bakar Said :
allah akbar
2026-09-06 09:17:46
2
Nagy @nagy :
Yan kumbuken mnavyo andika ivyo si vizur kabsa na Allah amekataza kutishia mtu amani sababu mtu ni imani tu ndo atasimama nayo kwahy kulaaaniwa ni yeye tu Allah ndo anajuwa Imani ya mtu kuwa ww ni mkwel au si mkwel😌😌😌
2026-09-09 18:12:24
2
To see more videos from user @mussa.salum82, please go to the Tikwm
homepage.