@bongofive: “Maana ya jina la mtoto wangu na wema ni shujaa leo tumeaanza kwa kuifanya sherehe lakini lazima sherehe nyingine tutaenda kuifanyia Moshi” alisema Whozu Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongofive Imeandaliwa na @abbrah255

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 19:40:02 GMT
13338
495
15
6

Music

Download

Comments

peackoko16
Treasure 2026 :
mtoto yupo ila mdogo mwez mmoja mtoto anakuwa mdogo
2026-07-16 22:54:07
1
highteacher
Mohammed hijja :
umeoa
2026-07-17 01:08:47
0
neymama2
Jayfourhour🇹🇿🇹🇿❤️ :
kama umeona kama mimi alichokibeba wema gonga like
2026-07-16 21:10:28
0
fausta.deus
Fausta Deus :
yap mchaga huyo 🥰
2026-07-16 19:55:44
0
jumbekassim
JK wa Tatu :
yaan mtu anasema Leo amefanyiwa haqika halaf baadae anaend batizwa na mtangazaj unasema mashaallah. day inna lilah wanna ilah rajiun
2026-07-16 19:50:25
7
unknown.kha.01
unknown🇹🇿🌐 :
mbonq km hamna mtoto apo
2026-07-16 21:29:19
1
abdul.lukongo.aki
Abdul lukongo Akim🥷 :
Sasa mtoto iko dini gani leo haqiq alafu tena ku batizwa😳
2026-07-16 20:45:37
4
user4186177245948
user4186177245948 :
kiislam wakati mwanamke hujamuoa hawi na hatokua mtoto wako uyoo wee baba ila sishangai hata wazazi wake wema mmoja alijiita muisla mwingine mkiristo na wakazaliwa kina wema sio mbaya na wema kurithi uchafu alio fanya mamaake kwao wema dini ni kama chama tu au timu ya mpiraa
2026-07-16 21:35:44
1
isha.dully
Isha - dully :
😂😂😂
2026-07-16 21:51:27
0
user2854718481373
Shamsa mohamed :
😁😁😁
2026-07-16 22:10:50
0
ms_alice00
ms-alice 00 :
🥰🥰🥰
2026-07-16 19:44:37
0
mrs.unknown556
Mrs unknown :
😭😭😭
2026-07-17 02:09:31
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About