@dmi_celebritiestz: Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) @dmi_tanzania kimewahimiza vijana na wanawake, kujiunga na masomo ya sekta ya bahari kutokana na kuendelea kuongezeka kwa mahitaji ya wataalamu wa ubaharia duniani, huku nchi za Mashariki ya Kati zikitajwa kuwa miongoni mwa masoko makubwa ya ajira. Wito huo umetolewa na mwalimu wa DMI mafunzo kwa vitendo, Master Cary Mwandambo, ambaye amesema wahitimu wa chuo hicho wana nafasi kubwa za kuajiriwa ndani na nje ya nchi kutokana na ubora wa mafunzo yanayotolewa yanayokidhi viwango vya kimataifa. Huku Mkufunzi Msaidizi na baharia, Mhandisi Winfrida Ngalu, amewahamasisha wanawake kuondoa hofu na mitazamo hasi kuhusu sekta ya bahari, akisema taaluma hiyo si ya wanaume pekee bali wanawake pia wanafanya vizuri na kupata ajira kwa urahisi. #daressalaam #dmi #tanzaniatiktok #DMICelebrities #fypage

dmi_cerebritiestz
dmi_cerebritiestz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 15:13:26 GMT
5979
434
18
20

Music

Download

Comments

esther.kiwale
esther Kiwale :
really appreciate DMI 🥰🥰🥰
2026-07-17 18:01:28
1
onlyyoucanlove
only :
master 🫡
2026-07-18 04:53:19
0
ndakize39
Alfred :
Dmi appreciations
2026-07-17 18:53:57
0
xander.one5
Xander one :
kwan bei gan kusomea na ni mda gani
2026-07-17 19:35:39
0
v.e.e.f.l.y
v. e. e. f. l. y🦋 :
Tumeanzaaa kwendaa vailoooo
2026-07-17 15:39:46
0
ashpappy22
FORTUNE🦋🦋 :
tunasoma ila hatupati hajila
2026-07-17 19:10:43
0
juma40469
juma :
Short course ada ni laki 8 na 70 kwa mwezi mmoja
2026-07-18 06:07:53
0
cutecathy25
Cute Cathy❣️ :
wooow ni 🥰🥰
2026-07-18 04:34:55
0
midokiungo8
MIDOKIUNGO8 :
Ajira zipo kweli changamoto n experience watu hawana wamesoma ila wanaenda kufanya seatime wapi hapo mjitahid crewing agency na makampuni wafungue matawi bongo
2026-07-17 19:36:39
0
the_real_sele
The Real Sele :
seatime tu tunaksa alaf mnawataka watu wengine 😂😂mnataka tuendeshe safina ya nuuh
2026-07-17 19:57:00
2
minny_363
Minnie♥️ :
❤️❤️❤️
2026-07-17 17:14:04
0
pretty..v7
pretty..V💞❤ :
😳😳
2026-07-17 17:12:16
0
teresia.meela
Trisha🦋🦋 :
🔥🔥🔥
2026-07-17 15:16:20
0
abzmal77
Abdull de 🤴 :
@Nassir_dante_08
2026-07-17 19:50:04
0
To see more videos from user @dmi_celebritiestz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About