Darasani sasa somo limekupita,then mwalimu aseme mmoja asimame afunze wengine ndo hapo sasa inakua heri somo lipite tuu juu hakuna kitu naelewa😳
2026-07-21 20:10:11
2
Kemmy254 :
😂😆😆😆😆😆akayamba
2026-07-20 06:15:04
3
Francine nzonga :
Ku changa nini
2026-07-20 20:46:28
0
chausiku :
ulinitoka singa kiswahili ya inchi Gani singa ya vile ikanitoka nika nyamba weeeee
2026-07-20 22:19:57
1
star 🌟 :
nilienda nyamba singa ? c'est ça qui me retient ici. 🤣🤣
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 toujours on TOP😂😂
2026-07-20 19:18:37
3
mosiria6 :
wich country is this😳😳😂
2026-07-21 19:37:02
0
shukria :
nikayamba wow
2026-07-19 19:04:29
3
Zita Maroyi :
ambo mutumishi wamungu ilishaka saidiya watu mwengine na mimi uni saidiye umbur. yangu ya myaka ina soga mbele namiye Niko nashida zamingi uni saidiye uni ombeye nipate bwana niolewe na tumbu inanisumbuwaka sana Niko congo
2026-07-20 22:25:12
1
Amina Mlamba :
nna ushuhuda ila cn namba yko nme tumia ndimu limao na UDI nikajifusha kilichonitoke
2026-07-20 06:55:56
1
Dee🥰🥰🥰 :
Kwakweri mtumixhi Mungu akuweke miaka elfu umenisaidia Sana kumbe maombi bila maarifa ni bure naendelea kuona mkono wa bwana nakupenda 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-20 08:35:19
1
user6172055510617 :
tuelekeze nasisi tupone kutumiyaje ile
2026-07-20 05:55:25
2
trizahterry232 :
Amen amen
2026-07-20 05:00:38
1
sofiabarasa667 :
Amina
2026-07-20 20:35:27
0
eunicewanga :
@kube hizifitu nizaukweli
2026-07-20 04:20:07
1
it's Nafula🥰🥰 :
uku kenya hatutoboi kiswahili😅
2026-07-21 19:46:51
1
Bahati Eriyo :
hapo kwenye kuyamba mkamba ya ndoano nikalambila tumbo likanivuruga duh pole
2026-07-20 07:06:05
1
susan :
Amen
2026-08-04 08:09:26
0
ilungawanday :
Amine amine amine amine merci beaucoup
2026-08-06 01:20:04
0
KENSONE KINYENGELE :
jambo dawa yakukamata walozi
2026-08-02 20:10:12
0
user521373449526 :
nikutumika je
2026-07-31 23:32:39
0
Vumilia Mweze :
Asante kwa mungu na mungu akubariki saana
2026-07-31 20:25:41
0
Vumilia Mweze :
Mutumishi na mie nilipna majabu juuu ya limao na kucha na asali na mafuta ya olie bimoja bina funguka
2026-07-31 20:25:10
0
Neema Mtemela :
hahahahaaà
2026-07-19 18:45:03
0
To see more videos from user @prophetrogersministry, please go to the Tikwm
homepage.