ndio maana Mimi saizi huwezi kunikuta nimepanda Costa Wala bus hawa madereva siwamimi kabisa Bora nitembee kwa mguu kuliko kuhatarisha maisha yangu
2026-07-21 13:13:41
0
😇🤙Christmas🎄💪🛣🚎💯✍️ :
Kwa heshima dereva NF kaamua kukubali matokeo 😂😅
2026-07-20 19:20:40
2
yankesly :
dreva bus daladala bodaboda na watu wa bajaji hesabu zao siku zote huwa haziko accurate katafunua mara overlapping mara u turn yaan bora to wanaenda to huko kwegine ni mungu saidia
2026-07-21 08:04:49
1
Sumaa01Sumaa :
ndo wana uwaga watu
2026-07-20 13:50:17
1
user6615293153211 :
kama ilo semi halina break inakuwaje
2026-07-21 12:54:41
0
Ally'son Abdallah™ :
mi ndo nilikuwa na hiyo gari kulikuwa foreni
2026-07-20 20:37:41
0
Winnie2210 :
hapo akipata tuu pakutokea mmekwisha😂😂😂
2026-07-20 20:17:39
0
user6615293153211 :
ndio mana wanauwa watu Kila cku halafu twajumuishwa madereva wote
2026-07-21 12:53:46
0
Franco kidy :
wazee wa kufoc kwenye 1 na mbil😁😁
2026-07-20 21:42:00
0
bakarihaji :
mnabahati hakuna hata pakupenya 😅😅😅😅😅😅
2026-07-21 05:49:59
0
Tom :
👈👈👈
2026-07-20 20:05:00
0
KONG AMIGO👆👇 :
🥰🥰🥰
2026-07-20 11:11:03
1
To see more videos from user @deogratiusnazareth, please go to the Tikwm
homepage.