@cawabemedia_: Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma ((CHAUMMA), Benson Kigaila amesema ili operesheni mpya ya chama hicho ya "Tujenge Pamoja#Tanzania ni Sisi" ikamilike, ni lazima wana CHAUMMA wajisajili na kulipa ada na viingilio na viongozi kuhakikisha wanachangia chama hicho ili kiendeshe shughuli zake ikiwemo oparesheni hiyo. Kigaila ameeleza hayo leo Julai 21, 2026 Jijini Dar es Salaam alipofanya mkutano na waandishi wa habari, uliolenga kuzindua operesheni hiyo ambayo imelenga kupigania masuala ya msingi kama Katiba Mpya na matatizo mengine ya Watanzania. "CHAUMMA itajengwa na Wanachaumma pamoja na wapenzi wa CHAUMMA, tunakokwenda tunakwenda na kadi, tunategemea tutasajili wanachama, wanachama watalipa ada zao. Watalipa viingilio kwa kadi na watalipa ada za uanachama za mwaka..., lazima viongozi na wanachama tuchangie chama, tutaomba wadau wachangie lakini lazima tuanze na viongozi", amesema Kigaila.ccjambotv
cawabemedia
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 13:06:12 GMT
Music
Download
Comments
user4270007871186 :
Atuchangiiiiii
2026-07-21 20:25:53
0
chib :
hatuchangiiiiiiii
2026-07-21 19:56:30
0
KASUGUGU :
project
2026-07-21 20:55:13
0
Sadam Issa :
nyie mmetusaliti mligombea October na tulisema no reforms no elections hatuwachangii ata mia
2026-07-21 17:55:48
6
loverack :
we mzee acha wiz chaman ni moja2 chadema
2026-07-21 19:58:22
4
kims :
Iyo ela bora tulewe
2026-07-21 18:58:37
5
PETER MPANDA :
wasipo wachangia UVCCM hakika mtaishia kuongea tuu
2026-07-21 20:39:22
1
Lewanga mkinga :
Namba ya kuchangia ni ipi?
2026-07-22 05:41:03
0
user7463278123571 :
Uzeni ile land cruiser ya kampeni hela zitatosha
2026-07-21 14:34:12
2
minja :
wanadaiwa songesha nn
2026-07-22 02:07:08
0
Baraka Msigala43 :
Na ccm inajengwa
2026-07-21 23:59:47
0
Deborah :
Saccos
2026-07-21 22:00:42
0
Chikonkolo :
Chama cha upinzani ni kimoja tuu
2026-07-21 21:10:01
0
user9121136847679 :
Unazungumzia Watanzania au hawa hawa tunao wajua au ni wengine.
2026-07-21 16:14:33
1
subiri mwaigaga :
kali ya mwaka hili nalo linareta taaruki
2026-07-21 20:31:35
0
jj msukuma mwanapogomi :
hahahahaha jaman kukaaa tz niraha sana 😂😂😂😂
2026-07-21 15:05:45
0
user4270007871186 :
Kumenza kuchangamka
2026-07-21 20:25:12
1
Christopher Lwaho :
hahahaha yaani tuwachangie kweli basi ni vichaa pekee yao
2026-07-21 17:38:21
1
Longai jr :
mwigulu 100m
mkuu b 9
chaumu wanakwenda kuvuna pesa nyingi za mchezo mchagu😂😂😂
2026-07-21 17:36:17
0
Andrea Daud :
😂😂😂😂mmeanza kuchanganyikiwa sasa
2026-07-21 19:58:15
1
Mwombeki :
Kawaombe waliokutuma Chauma na waliokupa chopa na magari kawaombe wakupe pesa
2026-07-21 19:58:12
0
EMMA STAR 🌟 :
Mjenge na nani wewe???
2026-07-21 21:39:33
0
central z'man :
ko nayo hii ni kudhoofisha tonetone au kutengeneza taharuki
2026-07-22 04:44:51
0
Isack Mackphason :
😃😃😃😃😃😃
2026-07-21 15:28:05
0
E&M sewing mechanic engineer :
🤣🤣🤣💔💔💔
2026-07-21 13:20:10
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm
homepage.