kwenye training tulikubaliana hamna kuingiza drons hifadhini, hao ni wakina nani wamejichukulia sheria mkononi na walipewa kibali na nani , hiyo dron inafanya kazi ya watu wanne mpaka kumi, kwanini wananyima watu kazi . neutral ๐
2026-07-24 12:18:21
4
Andrew Nzali :
tunakufuatilia...๐ค
2026-07-25 03:45:38
2
iamSage๐ด๐ฟ :
๐๐๐๐ we kesi yako itasikilizwa headquarter
2026-07-24 08:41:40
3
wildman36 :
nimecheka kinoma Bro ๐๐๐๐๐ Eti niliacha ka Ranger wa gadenia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-07-24 18:00:37
2
@๐ฐ ๐ฎ ๐ณ ๐ฌ ๐ฒ ๐ด ๐ณ ๐ฎ :
nilijitafutia kivuko changu๐คฃ๐คฃ
2026-07-24 06:30:58
3
antonmahhu :
Daaaah nilitamani kulia man"
2026-07-24 14:02:24
1
hellen the safari guide :
haahh kesii ishakuwa ngumu sanaa mkuuuu๐๐๐๐๐๐ww utaenda na ssi inabidi utupe maelezo yanayojitoshelez๐๐๐๐๐