@onlin4434: #islamic_video_الله_حسبنا😢☝️🤲❤️💕🕋 #allah❤️❤️ #repostvideoforyou #likeporfavor #islamic_video @𝑺𝒌 𝒘𝒂𝒛𝒊𝒓

onlinی
onlinی
Open In TikTok:
Region: PK
Friday 24 July 2026 17:54:39 GMT
793
93
2
6

Music

Download

Comments

user370128140259
کلیوال جانان🦾🇦🇫 :
🥰🥰🥰
2026-07-25 01:13:57
0
user5228051832980
بیلتون لونی :
🥰🥰🥰
2026-07-25 01:56:25
0
To see more videos from user @onlin4434, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

1. Usiwahi kupoteza akili yako ya udadisi (curiosity). Hakuna trader ambaye amefanikiwa sana kiasi cha kuacha kuwa mwanafunzi. Kuna mengi sana ya kujifunza na mengi sana ya kugundua sokoni. Haiwezekani kujua kila kitu. Ndiyo maana utaendelea kuwa mwanafunzi maisha yako yote kama trader. 2. Kuwa na taarifa za hivi karibuni. Jitahidi kwenda sambamba na mabadiliko mapya ya soko. Kila kipindi kina tabia yake kwenye trading. Unaweza kuona hilo kwa jinsi vipindi tofauti vilivyokuja na tabia zake tofauti tofauti, kama kipindi cha PANDEMIC (COVID19), BREXIT, Ukraine Invasion, US-China War na US & Israel against Iran war. kuwa na hamu ya kujua namna  mabadiliko ya tabia yanayotokea sokoni kulingana na jambo linaloendelea. 3. Uliza maswali kila wakati. Nikiwa na-mentor watu, huwa napenda kuona beginners wakiniuliza maswali. Mara nyingi begginers huwa wana taarifa za hivi karibuni zaidi kuhusu mbinu mpya, teknolojia mpya, au mitazamo mipya ya soko. Kinachokosekana ni uzoefu wa kuzitumia kwa ufanisi. Ndiyo maana unapaswa ku-engage na kujifunza kwa kila mtu bila kujali kiwango chako cha uzoefu. Kuwa na hamu ya kujifunza na kujua suluhisho la wengine. 4. Jitahidi kuelewa kwa undani. Ukifanya marekebisho kwenye trading plan yako au baada ya jaribio la 20 jambo likafanikiwa ghafla, usiishie hapo. Kuwa mdadisi na chunguza sababu halisi iliyofanya jambo hilo lifanye kazi. Hivyo ndivyo unavyopata maarifa na uzoefu. 5. Kuwa mdadisi kwa njia nyingi tofauti. Kuwa na hamu ya kujua jinsi strategy mbalimbali za trading zinavyofanya kazi. Hata kama huzitumii wewe, zinaweza kuadd kitu kwenye strategy yako. Na pia kuwa na hamu ya kujua zaidi kuhusu safari yako binafsi kama trader. Mara tu unapodhani umejua kila kitu kuhusu soko, ndipo soko linapoanza kukufundisha kwa gharama kubwa. Trader bora hubaki mwanafunzi milele. Happy Trading, everyone! 📈🔥

About