@chadematz: "Wanachama wetu nchi nzima hakikisheni mnaonana na familia hizo za watu ambao ndugu zao wamekamatwa, tuwasaidie, familia zao zisilale njaa kwa sababu watu wao hawapo, kama tutakula makande, tutakula makande wote." Mhe. @HecheJohn

Chadema Tanzania
Chadema Tanzania
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 25 July 2026 12:27:54 GMT
4984
392
24
12

Music

Download

Comments

benny.mulishiwa
Benny Mulishiwa :
🙏🙏🙏Amen kaka inauma sana
2026-07-25 15:37:30
2
care_health_tips
wastara 04 :
NDIO BABA
2026-07-25 15:19:27
2
user1326990578445
Michael Sosoma :
tunakuombea sana kiongozi wetu tuko pamoja
2026-07-25 21:18:43
0
yoelngocho
King 👑 001 :
Heche ni Zaidi ya Ai Mungu akutangulie
2026-07-25 17:01:53
1
justin.chekwe
Justin Chekwe :
atuogopi Baba
2026-07-25 17:29:27
2
mwita1991
MATIKO CLASSIC WEAR :
Duh!! 😭😭 CCM Kwanini mnatufanyia hivi!!
2026-07-25 13:53:58
1
user2065704162523
1718 :
asante kaka mungu atatujb
2026-07-25 13:22:06
1
rich.makweba.jr
Rich.Makweba jr :
Chadema ina watu
2026-07-25 13:17:26
1
thomaskiroyamolell
Thomas Kiroya molell :
Dhaaa mungu Akubariki Sanaa kiongozi na Akulinde saana sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-07-25 16:12:58
3
chacha.ngoreme
chacha ngoreme :
Asanter baba Kwa hutuba nzur
2026-07-25 15:14:38
1
adasty55
Adasty :
kwel baba
2026-07-25 13:17:30
0
kasiri255
Kasiri255 :
Kabisa
2026-07-25 12:36:38
1
fatmafakihi5
fatmafakihi :
mungu akupe nguvu kiongozi wetu tunakukubali sana sana
2026-07-25 16:42:15
1
chacha.ngoreme
chacha ngoreme :
saut yenye haki
2026-07-25 15:13:14
1
eliamdalingwa557
eliamdalingwa557 :
amina
2026-07-25 16:52:27
1
user7485257550226
mwakalinga :
Kauli ya kiumeni
2026-07-25 12:46:17
1
user1086509016597
[email protected] :
p1 kiongozi
2026-07-25 15:42:43
0
sir.ngure5
Sir ng'ure :
inauma sana daaaa
2026-07-25 15:51:14
1
alnuhu.com
nuhu.com :
we heche jau sana
2026-07-25 17:04:56
1
abelcharles162
abelcharles162 :
💗💗🙏
2026-07-25 14:27:35
0
iron.mission
iron mission📖🎶🙏 :
🙏
2026-07-25 18:34:27
0
mahesabucomedy
HD MAHESABU TV🇹🇿🇺🇬🇰🇪 :
💯
2026-07-25 12:52:52
0
kc4575
kc :
🫡🫡🫡
2026-07-25 14:05:19
0
patylovetz
Partylovetz :
🙏🙏🙏
2026-07-25 14:07:31
0
To see more videos from user @chadematz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About