@user4841606666210: What is this policeman going to do?#audit#fyp#foryou#usa#cops

Dating Club43ck86
Dating Club43ck86
Open In TikTok:
Region: US
Saturday 25 July 2026 20:52:22 GMT
328
8
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @user4841606666210, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

JIMMY MAFUFU Shetani ni mdanganyifu sana, tazama hapa familia nzima imetoka kumwabudu Mungu kwa upendo mkuu, lakini punde si punde Baba kachukua bastora kampiga mama kichwani, mama anaenda kuzikwa baba anaenda jela halafu watoto wanabaki wakihangaika bila wazazi na Mungu aepushie mbali kama ndugu waliobaki hawatakuwa na tamaa na kuwapora mali zao Siku moja niliwahi kupata mkasa mkubwa sana, kuna mtu aliujeruhi mno moyo wangu nikakasirika mno nikachukua panga nikasema leo namkata kichwa lakini kabla hasira yangu haijanizidia picha halisi ya watoto wangu ikaninia ghafla kichwani, nikakumbuka kwamba hawa watoto wangu hawana mjomba wala babu wala mama mkubwa wala mama zao ambao wamewahi kuwanunulia hata kalamu ya kuandikia shule, moyo wangu ukaniambia Mafufu ukienda jela hawa watoto watageuka ombaomba mtaani leo upo hakuna mtu anawatazama vipi siku ukiwa haupo? nikahuzunika sana nikaamua kuishinda hasira yangu na kudhamiria kuepuka kila hatari inayoweza kuniweka kolokoloni na kuwaacha watoto wangu wakitaabika Nataka kusema nini? Mnapoamua kuishi pamoja kama Mume na Mke ikifika wakati hamuelewani ni vizuri kuachana kwa amani, Yes yaweza kuwa ni usaliti na udanganyifu katika ndoa, ni kweli hayo yanaumiza mno lakini wanaume wenzangu msishindwe na hasira zenu bali yatazameni majukumu ambayo Mungu amewaamini na kuwapatia ambayo ni kutunza watoto wenu na kuwasaidia kuzifikia ndoto zao, mti mmoja akasema unakuta umelea na watoto na wamekua mwanamke anakwambia sio watoto wako je utajizuiaje? Ni kweli utapata maumivu lakini ni vizuri kujiondoa katika ndoa hiyo kwa amani kuliko kumuua mama wa hao watoto, kuna umri ukiufikia watoto sio lazima wawe wale uliomwaga mbegu tu bali kila mtoto anapaswa kuwa mtoto wako kama mzazi Mwisho hakuna ajuae nini kimesababisha maudhi haya mpaka mwezetu kumtoa roho mkewe lakini niwahusie dada zangu, Biblia inasema katika Mithali 18:12 Kabla ya uharibifu moyo wa Mwanadamu hujivuna. lakini anasema katika kitabu cha MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko Hayo maandiko hapo juu yatusaidie kuelewa namna tabia zetu zinavyoweza kuchochea uharibifu Pumzika kwa amani dada yetu na tunakutakia kila raheri kaka yetu kwa matokeo unayokwenda kukabiliana nayo baada ya kushindwa kuzuia hasira zako, mwisho kabisa Mungu awatunze watoto hawa ambao wazazi wao kimsingi hawajaona umuhimu wa kuendelea kuwatunza kinyume chake tofauti zao leo zimewagharimu pakubwa watoto wasio na hatia ACHA NIWE SINGLE TU MAMBEGHES

About