@scoutscatholic: ASKOFU MKUU #RT_GERVAS_NYAISONGA ALIVYOSIMIKWA KUWA RAIS MPYA WA SHIRIKISHO LA MABARAZA YA MAASKOFU AFRIKA YA MASHARIKI (AMECEA) Mhashamu Charles Kasonde, Askofu wa Jimbo Katoliki Solwezi, Zambia na Rais Mstaafu wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Afrika ya Mashariki (AMECEA), akimkabidhi Bakora ya Kichungaji (Pastoral Staff) pamoja na Nyaraka za Kiofisi Mhashamu Gervas Nyaisonga, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya, kufuatia kusimikwa kwake kuwa Rais mpya wa Shirikisho hilo. Tukio hilo limefanyika wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kilele cha Mkutano Mkuu wa 21 wa AMECEA uliofanyika Nairobi, Kenya. Video kwa hisani ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).

scoutscatholic
scoutscatholic
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 18:08:11 GMT
854
75
2
3

Music

Download

Comments

onesawa
Mama Francis :
Mungu amtangulie katika utume huu mkubwa aliopewa🙏🙏🙏
2026-07-26 20:00:06
1
sitak.demu
Kanumba8 :
🤲🤲🤲
2026-07-26 21:19:31
0
To see more videos from user @scoutscatholic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About