@jembestore: JEMBE AWALIZA WATU MBUGANI BAADA YA KUTOA HISTORIA YA BABA YAKE ALIVYO KUA DEREVA BODA BODA HADI KUFANIKIWA KIMAISHA KUNA CHA KUJIFUNZA APA JEMBE CAR ACCESSORIES…… JEMBE CAR ACCESSORIES TUNAPATIKANA ARUSHA ULIPO TUPO TUNA SAFIRISHA MZIGO KWA UAMINIFU NA SALAMA KBS JIPATIE ACCESSORIES YOYOTE KWA GARI LAKO NA BUSTA ZA MUSIC ZA AINA ZOTE PIA TUNA TARAMPS AINA ZOTE 0769974280 #jembecaraccessories #arusha #instagram #tanzania #taramps

Jembe car accessories
Jembe car accessories
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 16:29:22 GMT
27446
2435
85
150

Music

Download

Comments

user9682847378560
Bossy :
this is so swèet can i hug you you are a blessing
2026-07-28 00:07:53
1
mrnobod173
Mr Nobody :
Respect 🫡 bro!$
2026-07-27 20:40:45
0
smartfix_mobiles
China_plaza_dodoma. :
inspirational
2026-07-27 23:10:16
0
mushkalvin
Calvin Mushi :
Huyu mwamba yupo very real, unatutia moyo sana Baba.
2026-07-27 17:07:18
17
kelvin12121212
Kēlvïñ Këvøøh :
🥺 kwelii brother
2026-07-27 17:11:48
1
itcc.h.a.b.b.y
itc C.H.A.B.B.Y☠️ :
great inspirational bro🫡✊️
2026-07-27 21:25:30
0
marykatoroka
Mary Molleliyan :
Brother umeongea point...Big up
2026-07-27 21:12:42
0
allan.james300
Allan James :
lakini Kuna huyo Mimi 🤫 nikigombana na baba huku kwa mama tunaelewana😭 pia Nikigombana na mama huku na baba tunaelewana🙂‍↔️nashindwa kuelewa kabisaaaaaaaaaa 🙏
2026-07-28 00:13:02
1
bensonrotors
Benson rotors :
dereva bodaboda mwaka gani uwooo mkuuu
2026-07-27 21:00:07
2
nurdinsabdat96
Nurdin Sabdat :
wachache sana wanaoeleza mapambano ya baba kama mwamba hapa inapendeza sana ase
2026-07-27 22:29:11
2
emmanuelcamily
Emmanuel Jacri :
umetisha sana kaka #mafanikio yapo kwenye mikono yangu
2026-07-27 17:27:31
3
user1826826997817
user1826826997817 :
Be blessed bro,baraka🥰 ya wazazi ni ya kwanza
2026-07-27 21:57:01
1
judithmollel
judithmollel0 :
Tunapambanaaaa ssaaana lakin hatutoboiiiii mwaka hadi mwaka biashara haikui tunabak tunataka kuuza biashara yenyewe😭😭😭
2026-07-27 21:24:21
0
jamesjohn9815
jay j :
unajua kaka wengine tunapambna ila tunarudishwa nyumaa sana na watu pili saivi ma braza wengine unawaomba kazi awatoii
2026-07-27 21:11:27
1
debry322
It’s me deby🦋🌹 :
Mtuu wa nyumbaniii kbsa 🥺
2026-07-27 19:43:19
1
kelvinshaoo
Puyol Calvin :
Daaah polee kaka
2026-07-27 16:37:04
2
amani.albert7
Amani Albert :
dah eshima sana kaka jembe
2026-07-27 19:47:53
1
reportfromkaskazini
🐶PAPPY MAREKANI💨 :
jembe uko sawa mkuu
2026-07-28 00:51:46
1
autospareparts.01
Jacksoni.29 :
Sikufichi wazee
2026-07-27 21:58:19
0
efx..3fx
🅴🅵🆇 🅆🄰 m̷o̷s̷h̷o̷n̷o̷ :
mkuu wang nkuaminia san ankali. blessing 🙏🙏
2026-07-27 22:00:51
0
damian.ae3
Chairman White :
hii kitu aliyotumia huyu jamaa naitaka inaonekana ni nzuri sana
2026-07-27 22:00:28
0
mussaadamu351
van der moses :
kuna mda maisha akikusimulia mtu ambaye Mungu ameamua kumfungulia Riziki aunaweza kuzani Maisha ni Raisi Sana ila upande wa pili Sasa ☺️
2026-07-28 00:57:41
0
user61176122803412
J mooo💦☠️ :
brooo appreciate kinoma umetoa funzo kubwa katika jamiii
2026-07-28 01:00:51
0
noonenkya
MR NOONE :
wazii kaka penda kazi yakoo
2026-07-27 22:14:44
0
avriljn64
BINTI CAMPUS 🖇️❤️🌹 :
Huyu ni mm kabisa Iko siku ntafanikiwa kwajili ya wazazii wangu 🥺😍
2026-07-27 23:25:36
0
To see more videos from user @jembestore, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About