@khalidimagari:

Khalid magari
Khalid magari
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 19:48:30 GMT
37823
1551
76
311

Music

Download

Comments

josephkitivo
[email protected] :
sisi ambao hatuna magar kabisa tuna comment wap☺️☺️
2026-07-27 20:43:35
5
glasswiyne
glasswiyne :
ata tairi nazenyewe zinachangia unywaji wa mafuta beware!
2026-07-28 07:46:23
3
user9466873806275
user9466873806275 :
aisee mimi gari yangu ni Toyota belta ina Cc 990 lakini inakula mafuta kama mpumbavu hadi nataka kulia aisee
2026-07-27 20:53:44
3
global_gs0
. :
mi rumion yangu cc1500 ila inatembea 7.5km/litre ni sawa kwel
2026-07-28 10:37:34
2
useditemsdar
Kogoty Used Items :
Weka vzr kichwa kaka Nisome nyaraka Muhimu za Kuzingatia napo nunua GARI USED Kumbe zipo
2026-07-27 21:55:16
3
user8831671131135
zephany :
leo nmekubal unajua
2026-07-28 01:47:28
1
user1583520725848
Mercedes-Benz Ujerumani :
weka maji
2026-07-28 06:45:04
2
user5845402498001
user5845402498001 :
Asante Sana
2026-07-28 02:53:20
1
mudymanyweletz
Mudy [email protected] :
Kwanza ukiwa nimmiliki wa gari kunavitu lazma uvijue kama hv unavoelezea hapo wamiliki nilazma mvijue vzr kbs itakua itawasaidia sn tena sn
2026-08-22 07:38:41
0
paulmwai_official
Paul Mwai :
Good job ni ukweli bro.
2026-08-22 21:02:54
0
abduli.ali37
Abduli Ali :
asante kaka
2026-09-05 05:49:36
0
shabanlutea
shabanlutea :
sorry nauliza gari ya diesel ikiwa inatumia mafuta mengi nini tatizo!
2026-07-29 10:57:15
0
user1572412109752
Bayo :
Fundi umeme wazuri wakikagua watakwambia ukweli hasa gari linapokuwa na miss na huku inakula mafuta.. Nilipitia changamoto nikashauriwa watanisagia valve na limepona miss na ulaji wa mafuta!!! Gari lina mambo mengi
2026-08-01 07:18:33
1
sparkstzgenz29102025d9
TEISIUS K. THEONEST :
masega je?
2026-07-28 05:54:51
1
user8349069480008
mina :
Nashukuru kaka nimepata elimu
2026-07-28 04:18:48
1
olahdaniel95
Olah D :
fact bro khalidi 🙏 umelenga mule mule
2026-07-27 21:08:53
2
alfredmihayobunda
Bundala :
mi5 tena
2026-07-28 04:18:20
0
robbert617
LUXURY :
safi sana
2026-07-27 20:42:06
1
mudymanyweletz
Mudy [email protected] :
Khali magar upo vzr
2026-08-22 07:36:05
0
jacobcollins8481
Iam born of Christ Jesus :
asante kaka.huu ujuzi sikujua.
2026-09-21 15:52:32
0
kinyaiyaw
Wilson Kinyaiya :
shida ya koili kiharibika Mara kwa Mara inasababishwa na nini
2026-09-13 21:42:44
0
rogerson_1
user961855439513 :
🔥🔥
2026-09-01 19:27:14
0
zamzamza685
zam zam :
broo asnte sana nakufatilia yan nimeviandika kabisa
2026-08-31 18:24:57
0
salimalaquimane
santana444 :
thank u
2026-09-13 17:38:08
0
user7100447551249
Gibson :
Sawa Kaka
2026-07-28 05:06:37
0
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About