@fridaymwangomale: Mhe. Aggrey Mwanri ni kiongozi mwenye uzoefu, anayesimamia uwajibikaji, nidhamu ya kazi na maendeleo ya wananchi. Uongozi wake unaendelea kukumbukwa kwa kujituma na kusimama kwa maslahi ya jamii. #AggreyMwanri #MkuuWaMkoaTabora #UongoziBora #KiongoziMwenyeMaono #UtumishiKwaWananchi
Friday mwangomale
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 20:58:34 GMT
Music
Download
Comments
Rajabu Magufuli :
hatimae nimefulahi kuona ameteuliwa Jana kua naibu katibu mkuu wa ccm taifa
2026-07-30 08:20:34
13
jeffa :
Me naomba Aje kua mkuu wa mkoa Dar .esalam itapendeza sana
2026-07-30 08:18:46
5
SALEHE TEMBA :
mm kusemakweli huyu Mzee namkubali Sana hatakamanikiwa nimenuna basi nikimuona huyu hasira zinaisha
2026-07-30 11:54:45
5
user1505359949527 :
huyu mzee huwa nampenda Toka moyoni
2026-07-30 08:53:53
5
user1661403686326 :
jamn sijui jina lake tafadhal msaada
2026-07-30 10:41:14
2
king kiba :
huyu ni mtu kwel kwel
2026-07-30 08:21:50
3
user24024190945116 :
Mzee wa Sukuma ndani 🤣🤣🙏🙏
2026-07-30 04:29:23
6
gama mngoni :
hvi huyomzee.yupohai? nakama.yuhai yukowap tunamtaka kama.nimzima.
2026-07-30 14:34:54
1
Abdalla Michuzi :
awe waziri wa tamisemi
2026-07-30 09:06:52
1
Alex Msigwa :
hawawote,, ni, wapovinzuli
2026-07-30 14:52:00
2
yusuphkimaro2 :
tuwapambanishe nani mkali katika MWANRI na MAKONGORO😂
2026-07-30 14:11:14
2
Binamu dread locks :
cheo alichopew ni kidogo kwake huyo Urais labda
2026-07-30 09:08:02
2
joseph mfilinge :
tishaaasanaa
2026-07-30 05:54:45
1
user8022195333447 :
Ila kwa kweli jamaa huwa namkubali, nishukuru serikali kumkumbuka huyu jamaa ❤️❤️💪💪💪
2026-07-30 15:01:37
2
Matendomgm :
MUNGU AMEJIBU MAOMBI, dah wowwwwww
2026-07-30 15:05:10
2
shafizzo _ manyota🌟 :
kwkwl roho inaniumaga sana kuskia sauti za mamlaka kama huyu mwamba alafu halitumiki Taifa inaniuma kwl kwl
2026-07-30 13:45:06
2
Benson :
baba wangekupa tena ukawa mkuu wa mkoa
2026-07-30 05:58:17
0
miju's jr :
kwa mara yakwanza namuona akitabasam
2026-07-30 18:52:25
0
user8022195333447 :
Aliifanya Tabora TORONTO 😂😂💪
2026-07-30 12:05:40
0
richardkaitira :
😁😁😁😁kwer
2026-07-30 19:40:47
0
peter emanuel pulli :
kwa mara ya kwanza nimemuona anacheka
2026-07-30 21:15:42
0
David Kalaghe :
Afadhali mama amemkumbuka japo tumuone tupunguze stress
2026-07-30 20:34:01
0
FRANK ZE DON :
huyu tunamuhitaji aje kua mkuu wa mkoa dar atatufaaa
2026-07-30 13:28:21
2
martha madela 💃💃💃 :
uyu mzee angepewa ukuu wa mkoa ingependeza sana
2026-07-30 08:32:02
3
To see more videos from user @fridaymwangomale, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.