Hakuna kumrodhisha mwanadamu mm naamini kuwa MUNGU akikupa mume anakupa neema na kibali kwake hakuna sababu unajikuta tuu anakupenda bila sababu au sifa tuzidi kumkimbilia MUNGU ndiye aliebeba usalama wetu pekeee hayo mengine ni fikra potofu tuuu
2026-08-03 07:27:04
5
@mariamjsk2 :
mnatuchanganya jaman 🤣🤣🤣
2026-08-03 06:16:43
3
salima044 :
hivi ukimpenda mwanaume unaluhusiwe kumwambia au mm ninatabia mbaya
2026-08-03 17:47:34
0
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
unatafuta comment gan mwenetu nashindwa kuelewa 😂🤣🤣🤣🤣
2026-08-03 10:00:04
2
Evah💋 :
nakupenda sana kama kwa sabu umenifanya nionekane wa thaman sana
2026-08-03 18:41:03
0
tedy :
saw me nimefany iyo chachu nimeachwa
2026-08-03 20:29:42
0
QB (quarter back)♥️♥️ :
sijakuelewa
2026-08-03 05:36:40
0
maysadulla :
nieleweshee
2026-08-03 08:02:54
0
Norah baby :
sijaelwa
2026-08-03 08:34:23
0
fania🌹❤️🔥✅🚮😜 :
kwer kaka
2026-08-03 05:06:30
0
anjela_simon :
sijaelewa
2026-08-03 06:35:58
0
Zawadi Ladislaus :
mtajiju wenyew mara mfanyie hiki mwanaume mfanyie hiki.....na nyie mjifunze kuhusu sis sas khaaa
2026-08-03 14:51:12
1
chamababe :
et naomba kukuuliza unifahamishe zaid mwanaume akikwambia sikutak katika mdomo lkn vitendo anaonesha ananipend niamin vip et hapo
2026-08-03 19:23:09
0
pretty :
Mhh utafanya yote atakuacha hapo hawaga type
2026-08-03 14:26:48
0
mwanah💕 :
nimejichetua kanambia na uwo ubonge unaonekana kama jambo kubwa 🥺
2026-08-03 20:54:48
0
Amina Tachurufedi :
❤️❤️❤️
2026-08-03 05:14:48
0
bint haidary :
🥰🥰🥰
2026-08-03 04:56:33
0
To see more videos from user @king_m0tivation, please go to the Tikwm
homepage.