Unforgettable person may you continue resting in peace you were the best ✌️🕊️
2026-08-07 07:48:57
1
subukian254 :
and He once said 😭
2026-08-06 13:42:45
1
zozo@56 :
True story
2026-08-07 09:10:13
1
bechai babake....... :
mungu akuhifadhi pema papa gufuli
2026-08-06 05:13:18
17
mariamtuombe :
tutakukumbuk sana kamanda we🤤🤤🤤😪😪😪😪
2026-08-06 20:48:03
7
babyboy bts4565 :
mzee alipo kuwepo hata matukio ya hovyo hayakuwepo mungu akulaze pema🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏾😍😍♥️♥️
2026-08-07 07:01:57
2
#Miss E🦋🦋🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
Mwanga wa milele ukuangazie baba🙏🥹🥹🥹
2026-08-07 08:37:17
2
anna nikola :
tunakupenda sana baba yetu
2026-08-04 18:44:19
10
André Kuthya JW :
mnipende kwa ajili ya Yale ninaofanya
2026-08-06 15:35:28
4
Fidelis Finias :
bado tunakupenda
2026-08-06 17:53:02
3
Mose luckyboy :
ukona sura mzuli baba
2026-08-07 07:21:18
1
sheby love tz one :
tunakukumbuka magufuli
2026-08-03 07:48:22
9
rabani123 :
2026-08-03 21:14:05
1
Mzee sillah :
kweli kabisa
2026-08-03 10:00:28
4
DG HASANI SHOP :
huna baya baba
2026-08-05 16:59:45
1
official lizzy :
saw tumempoteza shujaa
2026-08-05 17:36:58
1
sheby love tz one :
bado tunakupenda mzee watu 🥺🥺🥺
2026-08-03 15:20:07
1
Banga mnyatulu boy :
kweli baba
2026-08-04 03:56:55
1
isharah :
Baba lala Salama,shujaa WA Tanzania, Sisi WA Congo tungikua na rahisi kama wewe,tungi furahii sana, Baba wajamiii,lala Pema!!!!!
2026-08-05 17:58:23
3
Money 💵💵💵💵 :
Mic dady
2026-08-07 10:58:00
0
Aren Calinian :
Twendelee kumuomba mungu atupe rais mwenge moyo kama wa kamanda wetu magufuri
2026-08-07 13:18:57
0
Chancetz :
baba kwanini ulituacha jamn kifo
2026-08-07 12:04:52
0
tunuabraham35 :
tunasubili maajab ya kumpata kama wewe
2026-08-07 12:57:05
0
Sniper_ Forex :
sijawahi comment kwenye mambo siasa ila leo acha niseme, huyu mwamba tulipoteza mtu wa kazi kuikweli huyu mtu kama alikuwa na mabaya yake basi mimi sikuitaji kuyajua ila nilimpenda kwasababu ya kazi toka alipokuwa wadhiri wa ujenzi, na nilipigaga kula moja tu maishani mwangu mwote ni kwa huyu mwamba. sizani kama itatokea tena kupiga kula. kwakuwa mimi ni mtu wa kazi napenda sana mfanya kazi.
2026-08-07 14:39:37
0
To see more videos from user @bakinafacts6, please go to the Tikwm
homepage.