Mimi mama angu alinihadisia kero za baba angu akasema nataka kesho kikao cha familia watoto wote tumuongelee baba enu mbele yetu wote hee kufika tumepiga storii me si nikakumbushia mama vipi kile kikao😂😂😂 akaanza kuniambia em nenda kapashe maji ya mume wangu akaoge usinivunjie ndoa yangu nyie nilichokaa😂😂😂😂
2026-08-04 21:12:36
47
@lizybby :
Send direct to my dady
2026-08-04 20:46:56
0
ms_niccah :
No mim huyu mama yangu alituchumisha fimbo siku baba yenu akifika n kipigo,siku baba karudi kamkumbatia kamkaribisha mpaka ndan kamsimulia makosa yetu yote tuliyofanya kipindi hayupo zile fimbo tulizozitunza kwajili yake zikatuishia sisi mwilin 😥😥,,rest in peace My dearest daddy😍😘❤️
2026-08-05 09:15:18
6
Lii..... Paul🦋🤎 :
kuna ilee ya mama kumsemaa baba na kumpondaa kabisaa unanza kuona mzee anazingua alafu keshoo unawakuta wanachekaa wanafurahii pamoja na ukikosea wanagombeza wotee wawili😂🤣 tena anakwambia fanyaa arakaa upikee mme wangu anaskia njaa🙌🙌😂
2026-08-04 19:59:27
10
eee :
This is my mum😂😂😂
2026-08-04 11:51:20
4
robiiiiiii :
Mama yangu uyo na mdogo wake wapo mikoa tofauti wakianza kugombana una ingilia siku una wakuta wana pigiana simu now sitaki mambo yao ata simu ipige hapo ipasuke sitaki kabisa.
2026-08-05 07:59:10
3
lockdine mor✨👑😜💀 :
Huo wema mi sina 😂😂
2026-08-05 13:28:57
0
Fay🎀 :
Baba angu huyo😂😂😂
2026-08-05 14:07:16
0
Rose Lucas♥️ :
mama angu tangu niko primary ananambia ikifika december anarudi kwao amechoka jmn ikifika december ananambia mm nababa tumeona tufungue biashara flani duh mpk leo nishazeeka harud kwao🤣🤣🤣 nimeona niachane na maisha yao tu
2026-08-05 07:55:47
0
Lightness 🦋 :
mama angu 😂😂😂 khaaaaaa jameniiiiiii
2026-08-05 14:03:33
0
Deborah :
ugomvi wa wazazi wangu ni ugomvi wangu pia hapo wala hamna mjadala
2026-08-05 12:04:57
0
Power of GOD :
kuongea nao sio shida ila moyoni ulisha waondoa kuwa nao sio shidabila kuwatahadharisha watoto ni muhimu
2026-08-05 06:41:13
0
Power of GOD :
sijakuelewa kabisa maana mzazi kukuhadithia anataka uwe makini nahao watu cozbkucheka namtu sio kumuamini
2026-08-05 06:43:27
0
Wendo Empire 👑 :
Mamangu huyo kabisa
2026-08-05 06:58:47
0
official-kinyemi🥰 :
ndio mamangu huyoo..
2026-08-05 07:52:47
0
ms 💰 :
yaan we acha yaan akimletea chps nafukuzwa kbsa😂😂😂
2026-08-05 09:51:53
0
Lemona :
mamangu na mawifi zakee
2026-08-05 08:45:25
0
Humble girl, :
usilisi ugomvi wa mtu 🤣
2026-08-05 09:52:52
0
To see more videos from user @mi_witty, please go to the Tikwm
homepage.