sas mbona unatoa kodi zetu sas mim nitatumia neno gani tena ikiwa unawasanua
2026-08-05 16:01:08
5
lizkal :
maneno haya si mageni mjini kaka 😂😂😂😂😂
2026-08-05 12:55:45
5
Angel 💞💞💓wahe :
huy dada nampend kuliko anav on I. dada ulisomea au mbn unaakil Mimi San mungu akulind uish miak buk
2026-08-05 17:42:50
1
Youncy 🦋 :
😂😂😂Ila madam mungu akuweke
2026-08-05 08:54:53
5
hamisashaban5 :
ya uongo
2026-08-05 10:29:43
2
💫🕋بي...🕋💫 :
😂😂😂😂😂
2026-08-05 19:37:21
0
ni :
kunamwanaume ambae tupo kwenye mahusiyano kiukwer mimi namupend lakin kilasik ananimbia yukobiz kama amenipigia sm wiki inakua imepi au wikimbil nanilikua nimepang nikaolewe nae nanikiwa nashid nikimwambia ananiambia niombe mungu atanipony asa mimi nashindwa kuerew nakashan itambulisha ukweni kwahiyo mimi nashindwa kuerew hawa watu
2026-08-05 11:47:03
0
tedy :
iyo kauli nikweli mamaa
2026-08-05 09:15:16
4
Rayms17 :
umesema ukweli ambao wake wengi hawajui
2026-08-05 10:03:53
4
muuh 🥰♥️ :
mm ndy Kila siku nasomewa 😂😂😅😆😅😂🤣 nachoka mm ilanitafanyaje💔❤️🩹