watu nawaheshimu vizuri tu alafu mmejazana huku kwenye vijambo😂😂😂😂
2026-08-08 15:00:07
8
Naah Midekoh 🦋 :
kumbe kuna kujitengaa😂😂 skuwa najua m najamba tyu 😂
2026-08-08 15:21:04
6
Sararewisi Bughe :
huku kwetu gari la taka linapitaga kila siku usiku juzi tumbo lilikua limejaa ges kila wakat najamba vya yusuph napata shida kweli kuamka kila wakati sindo likapita lile gari bhn halafu ushuzi umenibana sikunyanyuka niliunga hapohapo😂😂 watu wanaona mbona gari limepita lakini harufu haiishi wee me nikawa nakufa kwa kucheka kuna rafiki yangu anazijua tabia zangu si akawaambia wasininuse nn!! walichokikuta mungu ndo anajua😂😂😂😂
2026-08-08 21:38:57
5
VALENTINE :
naondoka namuachia alichofata
2026-08-08 19:39:02
15
April Taurus :
Daah imenitokea juzi niko mwenyewe kazini nimeachia mara meneja anakuja kunisalimia 🤣🤣
2026-08-08 12:05:53
7
Fettyfetty :
daaah hii ilinikuta juzi daaah nilihama nikaenda kusimama pengine🤣🤣🤣🤣🙌
2026-08-08 13:05:53
10
Naah12 :
mi nikijamba najifanya nko bize na simu 😅
2026-08-08 10:09:45
43
itsrose978 :
mimi huwa natest kidogo kuachia afu nasikilizia kama kikitoa harufu ndo nabana naenda kujambia mbele
2026-08-08 12:43:19
73
To see more videos from user @itsnelly_choppa, please go to the Tikwm
homepage.