yaaani kwa ushindani hamjambo nyinyi mtume wetu anakataza nyinyi mnasema tunajenga na qubaa juu
yake
عَنْجَابِرٍ (رضي الله عنه) قَالَ: نَهَى رَسُولُاللّهِ صَلّى اللّهُعَلَيْهِ وَسَلّمَأَنْيُجَصّصَالْقَبْرُوَأَنْيُقْعَدَعَلَيْهِ وَأَنْيُبْنَى عَلَيْهِ. مسلم
Imepokelewa kutoka kwa Jaabir (رضي الله عنه) amesema: Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) amekataza kaburi kutiwa chokaa (liwe imara), kuketiwa juu yake na kujengewa. [Muslim]
لّا تَجْعَلُوا دُعَاءَالرّسُولِ بَيْنَكُمْكَدُعَاءِ بَعْضِكُم بَعْضًا ۚ قَدْيَعْلَمُاللّهُالّذِينَيَتَسَلّلُونَمِنكُمْلِوَاذًا ۚ فَلْيَحْذَرِ الّذِينَيُخَالِفُونَعَنْأَمْرِهِ أَن تُصِيبَهُمْفِتْنَةٌ أَوْيُصِيبَهُمْعَذَابٌ أَلِيمٌ﴾
[ النور: 63]
Msifanye wito wa Mtume baina yenu kama wito wa nyinyi kwa nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu anawajua miongoni mwenu wanao ondoka kwa uficho. Basi nawatahadhari wanao khalifu amri yake, usije ukawapata msiba au ikawapata adhabu chungu
2026-08-08 11:26:56
1
DANIAL :
AC LITATIWA ILO
2026-08-08 15:14:06
0
Harminapretty :
Mbona CHAANI?
2026-08-09 16:19:12
0
isaq :
Chibakaaa😁😁😁
2026-08-08 04:34:35
0
Abubakari Kilasa :
Masha allah
2026-08-09 08:01:31
0
Said Ali Said Al-Batawi :
Assallam allaykum, hivi huo ujenzi wa barabara hapo Tunduni haopelekei kuvunjwa makaburi ya hapo mbele
2026-08-09 04:51:35
0
Mina🥀 :
Mashaallah
2026-08-09 07:15:00
0
Patrick :
Masha Allha
2026-08-08 19:11:41
1
yussuf yussuf :
amii
2026-08-08 18:40:47
0
Jailanomar02 :
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
2026-08-08 13:29:36
0
Muddy Wise :
Masha Allah
2026-08-08 08:46:10
0
userabubakar :
nyinyi mnasema kila kitu ni dalili bas mtume mwenyewe amejengewa kuba
2026-08-08 14:34:50
2
To see more videos from user @abdulla.bin.mana, please go to the Tikwm
homepage.