Uongo,mimi nilikua mlevi leo sigusi kabisa,nilikua nachelewa kurudi nyumbani lakini leo nashida na familia yangu ata kutoka natoka kimpango sana.
2026-08-09 14:06:17
13
chuga girl :
ongea chap chap bass
2026-08-10 08:05:22
7
nashifati :
punguzen. ushauri kila mtu ana maisha. yake
2026-09-03 17:42:29
4
Annie nivira :
unaongea polepole kwa kurudia rudia mpk wifi imeanza zingua
2026-08-10 12:06:57
8
Yusra Shekibua :
kaka unaongea ukweli ila viongozi wa dini wametuambia tuishi kwa wanaume kwa subra ninagundua nikweli cz tukiwachambua kwajinsi hiyo ndoa zitakuwa hazipo muhim nikuangalia yale moyo yanayoweza kubeba na wakati mwingine kuchagua watoto kuliko mume bc maana wanaume wengi walishaachwa moyoni bila wao kujua
2026-08-30 06:27:54
3
Tumaini Chaga :
mengine sio kweli bhana huwa nakatishana tamanaa
2026-09-08 19:43:00
0
madamsara7 :
Mimi Kuna tabia ya mume wangu nilimkuta nayo mbona ameacha tukaishi vzr
2026-08-10 05:21:44
8
mima :
hakika kabisa
2026-08-09 18:29:02
3
Gwen💕 :
hayo mambo yamefanya ninajuta mpaka leo ni miaka 12 hajaacha na anazidi na kibaya zaid nmezaa nae watoto wa3 sina pakwenda najuta najutA najuta 🥹
2026-08-11 08:20:54
6
.agy24 :
haki nimelia yote uliyo ongea yananihusu
2026-09-04 11:07:26
1
Tabitha Mfelo :
upo sawa kabisa
2026-08-20 01:57:16
2
user6862851581675 :
Asante kaka upo sahihi
2026-08-30 11:54:06
1
hamisashaban5 :
nakuamini kabisa
2026-08-26 19:20:03
2
Natasha :
kunywa soda nakuja lipia
2026-08-27 22:04:49
1
nado bedezo :
kabisa hiyo ndiyo ukweli mungu akubariki papa
2026-08-22 19:24:36
2
Zanifa Said :
upo sahihi kabisa baba
2026-08-21 14:03:54
4
Baby Mom :
Kuna ukweli zaidi ndani yake Ndiyo Mwanaume wangu kabisaa nilijua kabadilika na nikakubali kishi nae na skujali mazaifu yake na na nikiamin atabadilika😭😭😭 kak
Jaman ninachokipitia kwa sasa Mungu anisaidie tu
2026-08-09 15:41:10
6
jazila :
Asantee kwa ushauri wako babaah mungu akubarikiii
2026-08-21 11:37:55
2
ummy :
kweli bwana hapo umenena
2026-08-31 13:00:37
1
gee moshy :
Wivu. Abuse
2026-08-27 18:26:23
1
Jollie Super Grains Store :
watu wanabadilika tena sana tu ni neema ya Mungu tu
2026-09-06 17:20:44
1
songoloka lydia :
Unachosema ni kweli
2026-08-09 14:08:37
3
user4929717007139mxamini Eliza :
Asante kwa mashahuri
2026-08-21 11:34:08
1
Shmruba :
kwwel 2mepoteza muda mwing kusubir atabadilila
2026-08-23 09:18:14
1
To see more videos from user @dady_darling1, please go to the Tikwm
homepage.