@programming.tz: so guys kutokana na vitisho kuwa vingi mapka kufikia Kuni tishia uhai kuanzia sasa atuto post live test tuta tumia lab like portswigger and hack the bock #hackthebox #jifunzekitu #programmingtz #wifihack #fbpage

programming Tz
programming Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 07:00:00 GMT
47334
1406
58
46

Music

Download

Comments

michaelsindano932
EX-Soldier 💥🇷🇼 :
Together we help ourselves
2026-08-11 11:47:09
1
pro_exodus_knox_14
etc Exodus KNox :
Nina live web site...... naomba tutumie hiyo....
2026-08-12 06:32:15
0
ahmedking_26
ahmedking_26 :
bro as a random tech guy unatakiw kuwa makin san
2026-08-11 13:52:16
0
www.factstory.com
Caleb_ ① :
bro fungua channel
2026-08-11 22:18:39
0
fawzaan_masta
Fawzaan :
brother naomb mafunzo ya cyber
2026-08-12 09:48:57
0
somebody_allie
somebody__360 :
bro km unajua ethical hacking hauruhusiw kutest kwny mfumo wa mtu n kama unaexpose vulnerability na km umeptia TCRA act hilo n kosa la kufungwa nakukumbusha tu m pia n Cyber Engineer so n ushaur tu🙏💪✌️
2026-08-11 05:07:22
14
alyazid_alie
alyazid alie :
group muhm
2026-08-11 02:26:02
0
thats_jay09
jay_09 :
tufundishie hata na kwenye group letu kaka
2026-08-10 07:07:36
7
hermannjiwa
Herman Njiwa🇹🇿 :
mzee nakurekebisha kidogo kiswahili, Sio kwanzia ni ni kuanzia, na sio Amia ni hamia, sio dhambi kurekebishana
2026-08-10 16:33:10
11
nerver585
never_mind :
we endelea tu 😁😁😁
2026-08-10 07:10:08
4
bin.adam0
Bin Adam :
pamoja kiongozi tuta endelea kuku fuatilia kk
2026-08-10 07:13:35
3
jboy_creator99
Jbøy_Çreator :
😂😂😁😁....saw kk....
2026-08-10 07:11:49
1
hackersoftware5
MR T :
link mbona haiyeleweki broo
2026-08-10 13:49:40
2
brightsonogada
brightson@diplomat. :
nitakufatilia
2026-08-10 13:25:53
0
musictherapiy
MusicTherapy :
Na utakuta kaenda shule na mimi. Wakati mwenzangu anahack me napost mimbo! This life guys!!
2026-08-12 13:59:29
0
ossy.jr56
Ossy Jr. :
sawa mkuu
2026-08-10 07:06:38
1
djdannydee4
dj_danny_dee_ :
Mbn link yako hainipeleki kwenye group
2026-08-10 08:07:53
2
josephchristoph14
Jose :
kufanya hack kibongo bongo ni kosa kisheria yani wakikupata maji utaita mma na pia kama unahack mfumo wa mtu lazima uwe na kibali cha maandishi kutoka kwenye kampuni husika na pia unavyofundisha kwa lengo jema si kila mtu unaemfundisha anakuwa na lengo jema kwahiyo na wewe waonee huruma hao wenye makampuni na wenye mifumo maana nao wanateseka sana jamani ila na kukumbusha tu wakikupata usije ukalaumu ila all in all bigup bro kwa kulitambua hilo
2026-08-11 03:56:17
4
__bill.g
__bill.g :
Nina mawazo anko yanahitaji uwezo wako please nijibu DM anko itakuwa hnyama tukifanya kitu
2026-08-10 09:51:08
1
elnettechnologies
ELNETISPBILLING :
Sema ile kwa billing system, ina fikirisha, ile loop hole ya ku mac sniffing. Niliwaza system zisifanye autologin zitume code kwenye namba ya mteja, ina solve ile loop lakini gharama za sms na UX inakuwa mbovu.
2026-08-11 05:43:39
1
king0ay
A.Y :
tupe links ya group bro🔥
2026-08-10 17:09:58
0
humud.juma15
Humud Juma :
kaka na mm natak uniunge
2026-08-10 17:54:22
1
bigviruss
BigVirus :
you should have started with Ghost Mode
2026-08-12 19:14:03
0
To see more videos from user @programming.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About