@vall12.com:

Vall
Vall
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 13 August 2026 04:56:37 GMT
157812
12820
350
334

Music

Download

Comments

ncent.muhereza
Ncent Muhereza :
like a mother like a daughter
2026-11-05 09:40:52
0
faywamalwa.2
fay wamalwa 654 :
😂😂😂😂😂me lunch time mmeshinda na uji alafu supper we ndo unapika wueeee unalipisha kisasi walai this lyf
2026-08-13 11:17:56
18
trinity.triny4
Trinity Triny :
kwanza wakati ilikuwa my duty ya kupika na ikuwe ugali na omena ama ofulu nitaweka jordan ndo nifanye iyo kitu vizuri
2026-08-14 11:39:03
64
marionmunyole
mamake promise💓💝 :
kumbe si mm peke yangu🤣🤣🤣
2026-08-13 17:05:41
9
user8140135309161
GRACE 46 Official❤️💃(Gëë😘) :
si mtamalizia jikoni😂😂🤣
2026-08-13 15:26:21
14
esychembeni
esy chembeni :
😂😂😂mimi siku hizi mamangu apendi nipike ugali heri nipike mihogo
2026-08-13 18:24:53
42
florance46222
Farry lyrics🎶 :
like mother like daughter 😅
2026-08-14 17:59:30
16
miss.nana981
Nana 💞 :
Ndo maana huwa napika ugali kwanza before food,, ugali ndo itangulie kuiva
2026-09-10 13:56:20
9
berylmonalisa2
beryl monalissa🥰🥰 :
nasitawai wacha hata nioleke🤣🤣😂😂😂😂😂
2026-08-13 16:34:50
13
ma.felisha
Ma Felisha :
ukiolewa kwenye sister-in laws ni wengi🤣🤣🤣🤣 alaf kila siku wewe ndo unapika kila siku,ulifika kwa meza unawekewa chakula kidogo 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 18:56:55
3
nancy.amunya
Nancy Amunya :
niliwai onja samaki side ikaisha time ya mum kupakua akashaout babangu kutokelezea aliniona war that man aliniuliza nani atakuoa imagine Niko single
2026-08-16 15:48:11
6
cherrycheche0
💥💫mpoa wa East💯💫🤞😘 :
unashindwa mbona girls wanagrow faster🤣🤣🤣🤣kumbe siri n hii😂😂😂
2026-08-14 19:14:08
3
essy.essy37
Essie 🇺🇬🇰🇪🇱🇷 :
very supportive mother😂😂
2026-08-13 12:27:56
6
evanskiptis248
Fabian Boyz🔥🔥♥️✅ :
Thafadhali CCTV iwekwe hapo😅😅😅😅😅
2026-09-15 13:41:58
1
khagali22
Janet khagali :
huyo ni mm wakati nilikuanga shule nilikuanga nakuja najaa alfu wakiniambia niendee nipike naanzia kwa meko ndio nikienda kwa meza nakula kindogo
2026-09-27 17:49:54
1
aggiegachui0
aggiegachui0 :
imagine mm sai naweza pika chakula mpka iive mbila kuoja 😂😂
2026-08-17 18:59:28
7
valentine.mudeizi
val vellah :
like mother like daughter
2026-08-13 05:09:09
6
linetosongogmail.c
Lyn kem :
mimi nilikula maharagwe kutoka kwa sufuria mpaka ikabaki supuu mpaka sahisi mamangu ako na hiyo story
2026-08-18 10:30:51
4
evalinealuoch3
Nyaruga Pamba :
mimi sikua napika nyama itafika kwa meza zikiwa tatu🤣🤣🤣🤣
2026-08-14 18:57:15
8
nyambita73
nya mbita467 :
😂😂😂 Kwanzaa mimi nilikuwa nakimbiza my brother mbio na viboko ndio nibaki jikoni nikule vizuri 😂😂
2026-08-23 19:05:47
1
nynchera
Nyanchera :
c chakula ni yenu, haraka ya nini ama mko wengi nilifanyaanga hivo wakati tulikua wengi nikadhai sitashiba walai
2026-08-18 16:50:34
2
bresh.thee.c.e.o
Favoured 🥰🌹🌹 :
Nikirudi ushago lazima nifanye hii walai. Halafu huwa inaslap🥰😂😂
2026-08-14 10:02:20
2
jerryl.belizz
Jerryl Belizz :
usipochunga huyo n mtoi wake
2026-09-05 11:32:00
2
janeeppgr8q
janeeppgr8q :
kama mko wengi na food ni kidogo
2026-08-22 17:14:27
2
user3523322674167
user3523322674167 :
hapo kwanza ni kwa mother inlow
2026-08-22 16:35:52
2
To see more videos from user @vall12.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About