@efrafoods: Nakuelewaga sana @fifi_lv @fifi_lv You deserve nothing but the best. Wapenda sala hii nayo muhimu #prayerworks #prayerchangesthings #ujanesiomwishowamaisha #tiktoktanzania🇹🇿

Efra_foods 🇹🇿
Efra_foods 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 15:54:29 GMT
131271
11098
280
1545

Music

Download

Comments

auras8129
Auras🍀🍀 :
Msisahau kwamb ukishaita power yako ikirud hao waliokua wanaitumia wanakufa
2026-08-16 10:23:40
174
iamvictor66
LAS V :
Is she her sister the look one
2026-09-22 20:48:43
2
symply__dijah
Symply_dijah :
Waislamu Tuna dua inatwa wasilatul shaffi someni au sikilizine for 40 days unanuia kwanza❤️
2026-09-20 06:13:08
41
user8739290324983
miss queen 👸 :
mbona mwafanana 🥰
2026-08-19 01:21:40
84
woindemwasha618
🦋simply_mom✨️🎀 :
yaani kila mara kwa mara huwa nnasema libarikiwe tumbo la mama mzazi lilombeba fif Nkya
2026-08-14 07:31:56
88
jacklinehop
forever hope❤️ ♥️ :
Naanza leo
2026-09-20 07:29:29
9
765uknow8
•🫧🧸🌸PRETTIEST 🖤🫧❤️‍🩹 :
Nan anataka tuwe tu naamka kuomb jmn 😭😭😳 mie nilishachoka hadi
2026-09-20 07:40:20
8
odianetchizungu
odilove🎓🥾🇨🇩🇹🇬 :
arubaini sa tisa c'est Combien pardon 🙏
2026-09-20 01:00:05
2
nelic_001
@_nelic22 :
Kwahiyo hakuna anaeona kama wanafanana au nimm pekeangu😳
2026-09-21 14:18:09
11
hairat863
Aira 💕Butterfly 🦋🦋😍 :
Nilisali siku1 tuligombana na mumewangu ucku jmn nlilia kwa uchungu kwa alichonifanyia naona aibu ata kusimulia asubuh yake sikwenda kokote nkasema nibaki nyumban pekeangu nikawa nmelala seblen mara namuona nyoka ananing'inia mlango wa chumban.Guys nmeogopa kuswali Tena 🥹
2026-09-04 19:38:29
15
godfreymngoni
Ngonifaceless channel :
Methali 24:10 Ukizimia siku za taabu jua nguvu zako ni chache
2026-09-20 07:42:07
6
123renny_
Renny :
Huyu dada ana madini yaliyo tukuka. Asante mwenyezi mungu kwa ajili yake
2026-08-14 04:31:03
33
kidungu_maria
Kidungu Maria :
Num.23.23 "For there is no sorcery against Jacob, Nor any divination against Israel. It now must be said of Jacob And of Israel, "Oh, what God has done!' (NKJV)
2026-08-15 02:37:50
5
mamyavi
glorykaria562 :
mbona kama mnafanana jmn
2026-08-14 14:47:59
7
mindless715
Nnie🤎 :
Kuna mstari kwenye biblia unafana na hiyo sala Kwakweli ni ushuhuda mkubwa hela ndyo usiseme hlf nikatoa na sadaka Mungu ni mkubwa mno🙏
2026-09-13 21:16:48
5
yustahenrish
yuu classic :
je unaweza ukasali kuanzia saa 4 hadi saa 6 usiku
2026-08-26 06:59:43
6
user9286398008415
letty fashion :
Amina sana
2026-09-19 18:17:58
0
yustahenrish
yuu classic :
my situation right now 🥲
2026-08-21 09:31:05
5
yustahenrish
yuu classic :
ushukuriwe na ww pia hadi nmekufollow
2026-08-21 09:32:04
5
bebokhan228
Bebo khan :
Asante wewe dada umenipa neno nzuri asubui ya Leo ameen
2026-09-23 03:58:50
1
user2671192092060
user2671192092060 :
hii nakutana nayo kila mara...maybe Mungu ananiletea
2026-09-09 04:51:39
4
mgumyajr4
MamuuJr🇹🇿 :
kiufupi naombi ya usiku yanamajibu nyie
2026-09-21 12:19:24
2
rosemarytimothyti
cake tamu :
jamani mbona nashindwa kusave video za ticktock
2026-09-19 15:03:58
3
happykomba4
Hapilicious :
Jamani nikisema tuu nafunga nyie naumwa vidonda vya tumbo hatari, Ee Mungu nisaidie mimi mtoto wako 🙏🧎‍♀️
2026-09-21 11:50:02
0
odianetchizungu
odilove🎓🥾🇨🇩🇹🇬 :
arubahini c'est combien je suis congolaise
2026-09-20 00:58:27
1
To see more videos from user @efrafoods, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About