@ffh_ethan: Three must do's before the deadline Friday! #fplcommunity #fantasyfootballtips #fpltips #fantasypremierleague #fantasypremierleagueteam

FFH_Ethan
FFH_Ethan
Open In TikTok:
Region: GB
Friday 14 August 2026 13:47:35 GMT
7644
28
1
1

Music

Download

Comments

ffh_ethan
FFH_Ethan :
What is your hidden gem under 7.5mil? ⬇️⬇️
2026-08-14 16:27:42
0
To see more videos from user @ffh_ethan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

👑🔥 DULLY SYKES: MUASISI WA BONGO FLAVA AU ALIRITHI MTINDO WA DAZ NUNDAZ? Historia ya Bongo Flava ina mjadala ambao haujawahi kufungwa. Wakati Mike Mhagama anatajwa kama mmoja wa waliopachika jina
👑🔥 DULLY SYKES: MUASISI WA BONGO FLAVA AU ALIRITHI MTINDO WA DAZ NUNDAZ? Historia ya Bongo Flava ina mjadala ambao haujawahi kufungwa. Wakati Mike Mhagama anatajwa kama mmoja wa waliopachika jina "Bongo Flava" hewani, jina la Dully Sykes linabaki kuwa nembo iliyoupa muziki huu sauti, personality, na taswira ya mtaani. 🎤🇹🇿 Kwenye mahojiano yake na BBC Swahili Swahili (@loko_omi), Dully anafunguka kuhusu nafasi yake kama muasisi wa kile tunachokiita leo Bongo Flava. Lakini upande mwingine wa historia unahoji… Dully hakuanza kila kitu kutoka sifuri? 👀 🎧 DAZ NUNDAZ WANASEMA NINI? Wakongwe Feroouz na Daz Baba wamewahi kupinga Dully kuitwa muasisi. Wanasema tayari kulikuwa na watu waliokuwa wakifanya majaribio ya kuunganisha Rap, kuimba, na midundo ya mtaani kabla Dully hajawa maarufu. 🎛️ ROLE YA DJ IBRA Katika simulizi za Daz Nundaz, DJ Ibra (ndugu wa Unique Sisters) anatajwa kama mtu aliyewapeleka studio kurekodi kwa mara ya kwanza hatua iliyofungua milango ya safari yao. Hii inathibitisha kuwa Bongo Flava haikujengwa na mtu mmoja. Ilikuwa ni matokeo ya wasanii, DJs, na producers waliokuwa wakifanya majaribio pamoja. 👑 LAKINI KWA NINI DULLY BADO ANATAJWA KAMA PIONEER? Hata kama mtindo ulikuwa ukijengwa, Dully alikuwa miongoni mwa waliouthubutu, kuupa vionjo vya Pwani na Rap, kisha kuufikisha kwa jamii kupitia ngoma kama Julieta na Hi. 🔗🎥 @bbcswahili 💬Je, Dully Sykes ni Mwanzilishi (Pioneer) au ni Mlezi aliyeupa muziki huu mwelekeo?👇 #DullySykes #bongoflava #BBCSwahili #30yaBongoflava #insideoutz

About