@khalidimagari:

Khalid magari
Khalid magari
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 21:29:05 GMT
15415
628
176
45

Music

Download

Comments

user4475203121146
💤💤💤💤💤 :
kifaa kinauzwa laki8. fundi anapewa alfu15. kwanini tusiwaibie
2026-08-21 08:26:25
6
yusuph.jskaka
yusuph jskaka :
natukitegeneza mnalipa kweli vizuli
2026-08-17 20:34:23
3
neemaosper
neema :
kuna siku niko garage akaja fundi mmoja akawa anapigiwa simu na mtu aliyempa gari akaenda kuulizia gea box akaambiwa m1 na laki 2 yeye fundi akamwambia uyo mwenye gari eti m1.5
2026-08-17 18:25:26
1
x6caraccessories
X6 Automotive Solution :
😂😂😂kumbe plug original ni shiling ngapi tajir elf 35 mbona ndogo ya audi ni 70 moja
2026-08-29 07:37:04
0
francbike1
Franc Bike :
Una nunua oil elfu 65 au 100k ila fundi akiku charge ela ya kazi 70k unakimbia kama umeshikiwa bunduki sasa why asikuibie mlipe vizuri uone kama atakuibia
2026-08-18 06:49:52
2
said86394
Said 🛠🛠🛠🛠 :
so kila fund broo mm huwa naenda na tajiri dukan
2026-08-17 21:20:36
0
johnmzimbabwe
John Mzimbabwe :
Nenda garage kubwa
2026-08-17 14:11:53
0
absalumabsalum
FUNDI MKOREA TUKO ARUSHA KARBU :
wew unafnyaa kazi gan?????
2026-08-26 13:22:56
0
shuupetty
Shuupetty 💄💄 :
Tufanyejeee sasa kaka khalid magari
2026-08-17 05:28:46
0
justinumeme
J цмҽмҽ :
kalib kwa J. UMEME 🛻 amenyooka mkuu yupo mbeya
2026-08-17 20:51:08
0
astarikondalihaze
Astariko :
bongo Kila mtu atambe na sekta yake
2026-08-17 13:27:14
1
deedone123
Deedone165 :
nawachumgaji je
2026-08-17 11:13:42
0
user4098334139503
$ up coming billionaire :
sio wote kaka tengua kauli yako niuyo fundi wako asie namaadili ase bro tena pole kwaulio kutananae
2026-08-18 09:51:03
1
injilivibetz
Helen monyi :
kabisa kaka 😂😂😂
2026-08-17 15:24:07
1
patoo7072
Patoo :
sio weze tu bali mafundi hakuna kaka wengi wanafanya kama kubahatisha tu.. unapeleka inashida moja anakukabidhi gari matatzo yameongezeka
2026-08-17 14:12:00
2
annachaji2025
An🔥 :
ilinikuta🙌🙌
2026-08-16 23:06:27
0
chris_dosantos
Chris_dosantos :
First service yangu baada ya kumiliki gari, aisee nilifanya kumwaga oil ya engine na kubadili plug, ile siku nilitaka kulia nilikutana na mzee mmoja pale petrol station ya total energy iliyopo morocco daa yule mzee alinipiga vibaya mno baada ya kujua ukweli siku ya pili bei halisi ya vifaa.
2026-08-17 09:45:45
2
zanzibar.0ne
zanzibar 0ne :
Sina Hamu mafundi wa Magomeni nimepeleka Garage ipo vizuri naenda kuchukua inawaka chech engine kumbe washaiba SEGA
2026-08-17 19:19:29
1
mathiaserenest5
mathiaserenest903 :
ujuyi chochote wwww☺️
2026-08-25 18:31:40
0
user4238270581299
ELISHA AUTO FIX :
tusamehe brother
2026-08-26 06:47:15
0
bwakila38
Bwakila Umeme Dodoma :
kaka mbona unatoa cords za mafundi
2026-08-27 07:15:48
0
brk43312
Brk :
kweli kbs.wadada tunabambikiwa
2026-08-25 19:46:59
0
twin.turbo727
Twin Turbo :
Ukihisi fundi anakuibia, na wewe unapenda vipuli original, mwambie akupe chasis number uende toyota mwenyewe.
2026-08-30 10:18:39
0
nicksonyona2
Nick umeme. :
dawa fanya ivii nunua spare wewe mwenyewe alf ukiona vip funga wewe kama ikiwezekana kama aiwezekani mlipe fundi afunge iyo spare
2026-08-18 03:27:42
1
alvinkasubi951
Alvin Kasubi :
kabisa kaka
2026-08-17 04:13:40
0
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About