@mkatakamba3:

mkatakamba Tz🇹🇿🇹🇿
mkatakamba Tz🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 14:40:43 GMT
27094
1144
51
35

Music

Download

Comments

masoudzilu
KUCHAKUCHERE JR :
Mo atuelekeze ameinunua simba kwa nani
2026-08-18 16:43:28
1
adammuki696
muki :
jamaaa ana point sanaaaa
2026-08-18 19:19:08
0
hamisimawazo922
Hamisi Mawazo :
walete
2026-08-18 04:02:55
1
5yohanatz
@yohana@tz% :
moo atuambie hiyo biashara yakuuziana simba aliongea nanan nawalikuw wap nakamuuzia shingap tujue nass
2026-08-18 19:42:10
0
matabalo.the.king
Matabalo The king :
hebu twende kwenye point mnatakaje nyie???
2026-08-18 19:33:18
0
mwasitidadi
sunflower :
Muhind anamshangaa mwenzie 😂😂
2026-08-18 18:27:24
0
dsm.environment.d
DSM ENVIRONMENT DISPOLLUTION :
Na Mo ajafatwa kuombwa uzamini simba
2026-08-18 17:37:28
0
mussahch6
Godwini :
mi nashindwa kuelewa😆😆
2026-08-18 17:55:57
0
omaryhawamibrahim
Omary Hawam :
Alifatwa na nani wakati Dewji family inaizamini timu miaka yote. Katiba mpya inaruhusu wazamini wa3
2026-08-18 19:01:27
0
mambori.rufin
Mambori Rufin :
Aya anae tuongoza akuepo
2026-08-18 17:31:06
0
martin31514
martin :
mo anataka awe peke yake pia hiyo bilioni 20 miaka yote ni hiyo hiyo bilioni 20 mana toka mwaka 2017 hadi sasa hivi ni bilioni 20 hii timu haikui kabisa yani
2026-08-18 15:08:28
0
mnyasa1973
mnyasa :
😄😄😄😁😄komaeni hapohapo tunigongeage tupendevyo
2026-08-18 15:49:29
0
francismroni
Francis Mroni :
kuna ubaya gani mwekezaji akiongezeka moooo tim imemshinda
2026-08-18 10:44:40
0
saidselemanjuma
starbway.🇹🇿 :
hatuwataki hatuwataki
2026-08-18 15:21:03
0
user0759817337
mama wa wanangu :
Ulikua wapi bhana mbona adimu sana
2026-08-18 12:48:23
0
user8624342339658
Iddy g :
nashindwa kueeeeeelewa
2026-08-17 23:05:15
0
masoudzilu
KUCHAKUCHERE JR :
Wewe ni kibaraka wa MO umeshajulimana
2026-08-18 16:40:28
0
masoudzilu
KUCHAKUCHERE JR :
Katiba kwa Sasa inahitaji wawekezaji 3 wengineo wako wapi
2026-08-18 16:42:28
0
user9286243174568
MR BLACK 🖤 :
nachowapendea simba wanakub6wa Enegy
2026-08-18 05:44:27
0
samsonedward714
@samsonedward714 :
kwani mo hawezi kushea na wawekezaji wengine wakaungana kama gsm?
2026-08-18 10:39:47
0
muss.senn
Muss Senn :
acheni kutetea ss tunakaa timu ifanye safi
2026-08-18 06:21:03
0
user7213958188182
user7213958188182 :
hii ndio kunya fc ninayoijua mimi yanga bingwa mpk mkome
2026-08-18 11:43:30
0
bcn9870
BCN :
Kwan mwekezajii anapata faida gani
2026-08-18 18:49:26
0
fahmanho
FAHMI KB :
uhakika kaka
2026-08-18 10:49:04
0
user1529468400683
Mchome jr :
tumuamin nan sasa sisi wana Simba 😂😂
2026-08-18 04:40:36
0
To see more videos from user @mkatakamba3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About