@yoonshrimp17: d-3 before vernon enlistment :( rich in everything (verkwan ver) ib; meeneia tt #verkwan #solboo #vernon #seungkwan #seventeen

hannie
hannie
Open In TikTok:
Region: MY
Monday 17 August 2026 15:41:39 GMT
988
187
3
13

Music

Download

Comments

nasrinzobari
Nasrin :
سونگکوان هیچوقت درکت نکردم که گفتی حس میکنی فرندشیپت با ورنون یطرفس🥲
2026-08-17 21:46:59
0
To see more videos from user @yoonshrimp17, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

FAIDA ZA VIRUTUBISHO VYA MADINI YA CALCIUM PAMOJA NA VITAMIN-D3. Habari yako ndugu yangu, Virutubisho vya calcium na vitamin D3 huwa vinategemeana sana Katika utendaji wa Kazi, tuanze kwa kuzungumzia faida za madini ya Calcium. 🔰Madini ya calcium yanasaidia Afya ya mifupa na meno. Kuponya majeraha ya mifupa na meno, na kutibu magonjwa ya mifupa na meno. 🔰Inasaidia kuongeza stamina na ushupafu wa mwili. 🔰Madini ya calcium yanasaidia mnyumbuliko wa viungo na kuongeza ute ute kwenye viungo. 🔰Calcium inasaidia mishipa ya fahamu kusafirisha taarifa kutoka kwenye ubongo kwenda sehemu mbalimbali za mwili. 🔰Pia madini ya calcium ni muhimu sana kwa mishipa ya damu Katika Uwezo wa mishipa kutanuka na kusinyaa, kwa hiyo itasaidia Kurekebisha kiwango cha shinikizo la damu. 🔰Pia calcium ina mchango mkubwa Katika utengenezwaji wa vichocheo (hormones) na vimeng'enya (enzymes) za aina mbalimbali. 🔰Madini ya calcium ni muhimu sana kwa mama mjamzito Katika  ukuaji wa mtoto akiwa tumboni, pia na utengenezwaji wa maziwa kwa ajili ya maandalizi ya mtoto akizaliwa. Sehemu kubwa ya maziwa ya mama Huwa yanakiwango kikubwa cha madini ya calcium, hivyo mama mjamzito na anayenyonyesha ni muhimu sana kupata calcium ya kutosha, hasipo kuwa na calcium ya kutosha ubongo wa mama utoa taarifa na kutengeneza njaa Kali ili apate calcium, hii umpelekea kunenepa, na pia baadhi calcium aunza kutolewa kutoka kwenye mifupa ya mama na kupelekea kupata matatizo ya mifupa mara baada ya kujifungua. FAIDA YA VIRUTUBISHO VYA VITAMIN-D3. VITAMIN-D3 inasaidia sana mwili kusharabu Calcium na kutumia kwa ajili ya kuboresha Afya mifupa, meno, kucha na nywele. Pia tuna Virutubisho vya Calcium vilivyo changanya na vitamin-d3. Kama unapenda makala zetu comment Asante, like, share, subscribe na tufollow.

About