@zaipunasunfloweroil: Zaipuna Sunflower Oil ni mafuta safi ya alizeti yasiyochanganywa na kitu chochote (100% Pure & Fresh). Yanatengenezwa kwa umakini wa hali ya juu kutokea katikati ya nchi, Dodoma, kukupa afya na ladha halisi katika kila mlo wa familia yako. Chagua ubora, chagua afya. Chagua Zaipuna! ✨ 📞 Weka oda yako sasa: 0622206451