@umeme27: @ASKOFU ✝️⛪ #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #fypシ゚viral

𝑨𝒄𝒆 𝑹𝒚𝒅𝒆𝒓 🦅🔥👑 ⭐
𝑨𝒄𝒆 𝑹𝒚𝒅𝒆𝒓 🦅🔥👑 ⭐
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 05:41:35 GMT
14059
644
35
54

Music

Download

Comments

kevlon25
Kelvin25 :
Very fact
2026-08-18 06:33:57
5
dullahsam8
dullahsam :
uyu jaaaamaaaa kaongea fact sanaaa
2026-08-18 08:31:15
9
wa.kuwaliza
wa kuwaliza :
good fact
2026-08-18 08:16:07
0
joshuauswege
Joshmagar :
fact san
2026-08-18 08:03:34
0
supermaleta
Super Maleta :
dar umeongea vizurisana nabirakuogopa safisana 👍💯🇹🇿
2026-08-18 08:20:32
5
leonard.masambaji
Leonard Masambaji :
good broo umeongea vyema
2026-08-18 06:51:49
2
user7773812817191
Mpochi Jr :
ametisha nasa jamaa
2026-08-18 08:53:35
1
user2478339979318
CAPTAIN FAD :
msemaji wamadereva uyu apa tumempata
2026-08-18 08:54:40
1
seleman3850
seleman :
kwanini selekali haijengi parking za kutosha.malori yamekuwa mengi sana.lazima watapaki barabarani
2026-08-18 08:01:02
0
user69612883153181
user69612883153181 :
Safi kaka umeongeq pointi nzuri Sana
2026-08-18 06:48:53
1
wakishua680
Wakishua😎 :
fact
2026-08-18 08:45:29
0
meddymngole04385
meddy mngole :
wewenideleva mwenyeakili nyingi sana
2026-08-18 08:40:24
0
raiswamuhezatanga
Rais wa Muheza Tanga :
Oya poa sana
2026-08-18 08:42:49
0
world.lyrics843
World Lyrics :
hapo kwenye icd watajifanya hawajaskiaa
2026-08-18 08:16:08
1
remigifreemon433
Remigi freemon :
kaka umeongea Point sana
2026-08-18 08:13:25
0
babafaa432
Baba Faa :
nimeipenda iyo point ya kuchukia serekali,na sababu zipo tusikilizeni muone Taifa litakavo pendeza
2026-08-18 08:46:49
0
hassanihusseniibrahimu2
hassanihusseniibr :
kwa ushauri serekali inatakiwa kutafuta eneo la kusubiria kwa ajili ya malori kuja kushusha mizigo mfano kwa tunao safiri nchi tofauti tofauti tunakuta maeeno yametengwa kwa ajili ya kusubiri kwenda kuvuka kwenda nchi nyingi na mfano tuchukulie mfano wa tunduma dereva hauto toa gari yako kwenda barabara kuu biila kuitwa na askari wa usalama barabarani naiomba rerekali kwa hili itawalaumu madereva naomba mkuu wa mkoa kk yetu chalemila kbla hujachukua jukumu la kukamata maderva anza na wamiliki wa maasidii utendeji wao wa kazi nao utendaji si mzuri ndo kinacho sababisha foleni zote hizo
2026-08-18 07:33:16
0
mashahalifa
Masha Halifa :
Kwa ushaurii tu ni Bora kwala ikazaniwe ifanye kazi kuepusha jam mjini.
2026-08-18 08:27:04
1
alex.mwakosya
Alex Mwakosya :
2026-08-18 07:53:43
0
mkamba.maulid
Mkamba Maulid :
Akili nyingi sanaaa🤣💪 Big up Brother umenena inavyo takiwa kunena🙏
2026-08-18 08:54:43
0
erick.jacob79
Erick Jacob :
fact ✊
2026-08-18 14:50:18
0
johnii43
johnii :
nimemwelewa san nimeskiza x2
2026-08-18 11:30:53
0
gaston.paskaly
Gaston Paskaly :
point sana kijana
2026-08-18 08:10:07
0
rajabumohamed269
RAJABU MOHAMED :
Nawanajua kosa lao viongozi kwa kuwa miradi inapangwa na kutekelezwa ila haitumiki kwa makusudi tu kwa manufaa ya watu wachache(mradi ulishafanyika kwala ila gari haziendi)Fedha zinawekezwa halafu hafatiliwi kurejesha faida, jambo hili linakinzana na mipango ya maendeleo ya serikali.
2026-08-18 07:49:05
0
king.rich034
King Rich :
Wageni kutoka nnje ya nchi tunapo kuwa nao hapa Dar wanaonyeshwa kushangazwa sana mtu unasimama kwenye foleni masaa 3 hadi 4 hii ni shida sana
2026-08-18 08:39:25
0
To see more videos from user @umeme27, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About