@acxram: 🔥 CAR WASH YA KISASA — BIASHARA YENYE FAIDA! 🚘💦 Usiangalie tu gari linaoshwa… angalia opportunity iliyopo hapa! 💰🔥 Car Wash ya kisasa inaweza kuwa biashara yenye returns nzuri ukiwa na location sahihi na huduma bora. 💦 Pressure washing ✨ Professional cleaning 🚘 Huduma ya kisasa 📈 Fursa ya kukuza biashara 1.1M tu — unaanza biashara yako! 🔥 📍Tupo mwenge Cocacola Road Near Tumaini university 📲 WhatsApp: +255 766 312 349 | +255 744 874 457 #CarWashBusiness #BusinessTanzania #FYP
La nyongezaa KODI ya eneo uwenayo , TRA,HALMASHAULI, DAWASCO , na KUNGEA SEHEMU YA KUKAA WATEJA AU KUKAAA MWENYEWE😁😁😁😁usizan ukitoa hioo 1.1M UMEMALIZA KILA KITU
2026-08-20 07:23:08
8
HAMSINI TAGAMA :
kazi nzuri sana
2026-08-19 10:54:25
6
AC MASTER INVESTMENT :
mm naitaji naomba nipatieni namba zenu
2026-08-19 17:04:36
4
Mr Capo :
mnapatikana wap??
2026-08-19 10:37:54
2
King_mkuku :
beigani iyo
2026-08-19 17:56:42
3
Droxxenly 4K :
nimegundua na ww unaongea km AI kam amrisally😁
2026-08-20 12:16:28
1
Nass_umeme :
hivi kuosha gari moja bei gani🤔
2026-08-20 13:11:47
0
NASSOR M OMAR :
unapatikana wap kaka
2026-08-20 07:55:32
1
Miguel mejarry :
naitaka
2026-08-19 19:50:08
1
Paul tips :
mi nataka kuanza lakn hiyo M 1.1 inanunua vifaa vingapi
2026-08-20 07:15:52
0
karolin :
msipotoshe watu semen bei halisi
2026-08-20 17:47:55
0
henschelzephania :
Nikiwa na laki5 napata mashine ya kaoshi
2026-08-20 16:26:27
0
Mr Lee :
una patikana wap
2026-08-19 17:55:12
1
user7858749657375 :
mnapatikana wap
2026-08-20 18:04:22
0
Amena❤️ :
Mimi nakuja hapo
2026-08-19 16:33:50
1
_KASWA_MAGARI_MWANZA :
uko wapi
2026-08-20 15:46:32
0
Ninja boy :
ko ukiosha gari5 kwa siku inazima au inakufa
2026-08-20 18:33:43
0
user4015068262472 :
inapatkanqje
2026-08-20 17:54:06
0
Evodius Marco :
brother nataka namba Yako chap
2026-08-20 20:36:09
0
@Pastor Brayson Jr :
Mpo wapi
2026-08-20 16:15:29
0
Jamaal :
Shida hamjibu dm
2026-08-20 16:12:51
0
YOUNG 💛WILLY🇹🇿 :
sehem gani unapatikana
2026-08-19 20:54:24
0
To see more videos from user @acxram, please go to the Tikwm
homepage.