Mbona kila video me nakuwa kwenye kipengele cha mkuu wa majeshi 😂😂😂
2026-08-20 09:54:36
119
Drama Qu€€N ☘️😛❤️ :
Mkuu wa majeshii tujuane 😂😂😂😂
2026-08-20 04:39:26
77
𝑺𝒊𝒂 𝑬𝒔𝒔𝒆𝒏𝒕𝒊𝒂𝒍✨ :
nnachofurahia ww n simba😂😂😂
2026-08-19 15:46:35
88
mommy Naah😍 :
Wakuu wa Majeshi gether here
2026-08-19 15:27:52
153
Sajra abby :
Hgl hapoo ss😂😂
2026-08-20 04:14:34
0
clutch Posserah 💝 :
aah pcb bna twahuzunika🥺🥺😅😅😅
2026-08-20 08:47:38
0
Romancio ♐💫 :
HGK Again 😂
2026-08-20 16:46:56
0
yeunicemeena :
HGL hatujawahi kuboa in any aura🥰😂
2026-08-19 19:25:49
6
mo nassor boe :
kila video mi huwaga namsbir mkuu wa majeshi
2026-08-20 14:15:00
15
@sebah :
Mkuu wa majeshi ashakata na ticket apo😂
2026-08-19 16:07:09
36
ASMAA HONEY :
wwnaniita mkuu wa majesh
2026-08-19 16:59:24
13
mosha's daughter :
ila mkuu WA majeshi🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 15:21:05
26
mwalabu kipochi 😍💅 :
mm hapo kweny mtajuah wenyewe 😂😂😂
2026-08-19 22:56:43
10
Baharia491 :
HGL tujuane!!!!
2026-08-19 15:27:42
13
genial23.. :
ila HGL 😂😂😂
2026-08-19 17:12:43
7
~🧸FEY🦋 :
Ifike mahara umalize vita na watu wa ECA😁😁
2026-08-19 16:31:43
7
kevoo :
wakuu wa majeshi wa HGL like hapa🤣🤣
2026-08-19 17:10:23
5
stamour💝💯 :
wale tuliosoma HKL tujuaneeee🤣🤣🤣
2026-08-19 19:33:54
5
Edgar Sunday :
Bro izi content zako hata kwa siku ukifanya 10 sawa 2
2026-08-19 15:37:46
7
MG :
kuna msela alichaguliwa PCM alivofika akabadili akawa CBG baadae tena akabili akaenda HGL mwisho akabidi akawa HKL
pindi lilivyozidi kukazaa, akamia kwa wana HGK 😀😀😀🫵🫵🫵💪💪💪
2026-08-20 06:02:28
7
Jacqueline 🥀🎀 :
😅😅Nimependa Mwondoko wa mkuu wa majeshi😁😁
2026-08-19 15:35:22
7
Mimixo 🫠🥰 :
Mi hapo kwenye nyi mtajua wenyeweeeee 😂🤣
2026-08-19 16:56:08
5
Alphonce_brillson :
pcm unatukosea heshima😁, shule nlosoma kichwa cha habari ilkua ni pcm kila ukorofi😁, finally kabisa form6 pcm tuligoma kufanya mahafali afu comb zingne znataka , mbna tulimalza 6 wote bila mahafali😅
2026-08-20 10:52:01
1
To see more videos from user @niccollasy, please go to the Tikwm
homepage.