kama umesoma space to time relativity thiory albet anaelezea haya mambo vizur kuhusu time na space black holes na worm hole
2026-08-20 10:12:34
8
Wise Braza :
hawa madogo wanaweza kuja na kufundisha kwenye govnt zetu za kitaa na walimu wakakaa pia mabro wanajua🫡🫡🙌
2026-08-20 08:18:16
22
Japhsam Simulator :
uyu jamaa hana pupa ana breaks complex thery into some thing very simple, generosity is making a complex things into simple
2026-08-24 18:19:23
2
gwilakidinilo245 :
Again....hawakuintroduce wormholes.....theory ya wormholes imetokana na baada ya Einstein pamoja na nathan rosen kusolve Einstein field equation....wormholes sio nyota....ni portal inayokurahisishia kutoka one universe to another universe
2026-08-20 16:15:25
5
Jrprime store :
Movie inaitwaje iyo ankal ??
2026-08-20 20:59:02
2
Dr frank yohana :
mwanga haupindi kwenye black hole bali black hole gravity pulls light photons they can't escape
2026-08-22 17:35:30
2
Dalali Jetta Arusha :
Elimu ya sasa upatikanaji wa material ni rahisi kuliko kipindi cha nyuma WITO kwa wizara ya ELIMU wabadilike na kubadilisha namna ya ufundishaji . Mwisho kabisa dogo anajua sana .
2026-08-20 09:28:06
11
メMARCメ :
2026-08-20 10:56:36
1
shedy :
mpeni pc tu anajua bhna
2026-08-20 06:49:50
5
Likoloto :
2026-08-20 06:09:49
2
Klyro :
sawa lakini bado hao madogo Hawawezi kumfikia dogo wa istiqama yule dogo wa HUMANOIDS.
napenda kusikia na kuona practicals kuliko theory.
nawakumbusha kama hujui programming language huwezi tengeneza kitu amedevelop yule dogo wa istiqama. kumbuka dogo amehusisha Mathematics+Physics+ Biology+ programming language (c/c++ and assembly programming language).
nawakumbusha assembly programming language ni ngumu sana na siyo kila programmer Anaweza kuandika kwa hiyo assembly.
watu wa software engineering na computer science na mechatronics nadhani mnanielewa vizuri.
so next time be fair.
2026-08-20 13:26:25
5
Joseph kajanja :
nilikua na kitabu cha huyu jamaa elisten hakwing
2026-08-20 11:42:52
1
jasoncharles340 :
una introduce au unataja 😂
2026-08-20 21:07:54
0
Final Education Platform FEP :
if you are studying how uranus discovered, then you know gravity exists because the same law of newton used to solve that, inshort gravity is curvature of space and time
2026-08-22 15:32:34
0
pabloo escobar0416 :
elimu ni matter core 2 aina cha muhim 😅😅😅😅
2026-08-22 02:55:02
1
JonSnowTz :
The theory of everything
2026-08-20 06:41:44
0
Excellent boy :
umetisha sana
2026-08-22 08:19:52
0
SmileKing@ :
first comment
2026-08-20 05:53:33
1
mpare org. :
duuu
2026-08-20 18:21:09
0
NeuroX MD Étudiant :
Tabora boys utaenda lin jaah
2026-08-20 18:42:40
0
Dr frank yohana :
black hold , wormhole and white hole
2026-08-22 17:32:04
0
samil :
ni kweli
2026-08-21 19:01:56
0
Babayaga :
Na swali
2026-08-20 18:57:07
0
🌸🎀 :
me sielewi ndo maanini ayo mablackhole sijui jmn tusome
2026-08-21 21:10:53
0
G :
hapa kwenye jua, mwezi, nyota Kuna mambo nahitaji majibu kaka...
2026-08-20 07:22:00
0
To see more videos from user @unicollegeshow, please go to the Tikwm
homepage.