mimi nikimuona dem wangu ameikaribia tu kidogo ps5 yangu napata presha
2026-08-20 18:12:46
3
zombie--icon :
aaaah me ningee end kabsaaa jelaa mameeee
2026-08-20 15:29:33
2
Mo killer 45 :
hasira napata mimi
2026-08-20 16:32:03
1
Yasin Ramadhan :
🤣🤣🤣🤣ningemualibu
2026-08-20 13:30:37
0
Aunt G..07.40.92.96.29.. :
Yah hata mimi namuunga mkono bhana...now days yanawachizish sana 😂😂😂😂
2026-08-20 16:32:32
1
Abui_Senior :
kwanza me mke wangu anatakiwa ajuae kama game ndio mke mkubwa kama anataka kuingia kwa mke mkubwa anatakiwa ajue kucheza game hajui hawez kuingia kwenye chumba cha game
2026-08-20 17:40:16
0
mnubi jr :
adhabu atakutana nayo kaburin kwa mjomba snake mm huku tayar nipo jera.
2026-08-20 18:08:53
0
neylahsway 🌤️🌪️ :
sasa jamani mtu asifanye usafi 🤣
2026-08-20 16:53:35
0
adlux06 :
ninge mkaanga alfu nkatengeneza burger staki yake nkauza nkapata pesa
2026-08-20 17:21:12
0
Lotus32 :
na mtoa figa gaming pc kabsa
2026-08-20 21:27:21
0
Iam__bruson.👑 :
🤦🤦🤦aiseee
2026-08-20 18:48:01
0
johan Mexican :
siku iyo angekuwa AI kila swali anajibu😂😂😂😂
2026-08-20 17:46:34
0
samirsaid226 :
namzik mzma mzima
2026-08-20 18:01:15
0
To see more videos from user @dukalagamestz, please go to the Tikwm
homepage.