@5star_newstz: SHEIKH WALID ALISIMAMISHWA ILA HAKUENGULIWA - SHEIKH SHAFII SHEIKH SHAFII ALIZUNGUMZA HAYO KWENYE KIPINDI CHA #JANA_NA_LEO CHA WASAFI_FM C.C wasafiFm
lakini ata ww Kuna klipu ulikuwa unamzungumzia vibaya mara,anapendwa na wasani,wacheza mpira na wengine wengine,shekhe Walid anapenda kuwa karibu na waliopotea na ndivyo inapaswa kuwa,hata manabii walitumwa kwa waliopotea sio kwa waumini wachamungu
2026-08-21 06:30:48
3
mukami :
Sheikh Walid yuko Mombasa tuachieni sisi tunamuhitaji
2026-08-22 04:44:30
1
Yee :
hata mimi nilikeleka na clip yake kitomuunga mikono ila nimemuelewa kwa sasa
2026-08-21 09:59:43
0
chimbonda :
shekhe shafi kwann usiombe radhi kwanza kwa Ile clip yako ya kwanza uliyokuwa unamsema vibaya shekhe Walid kwa yeye kupendwa na wasani,wanamziki,wacheza mpira kwakufupi kuwa karibu na wanaopita njia tofauti naza kidini.chutama tutakuelewa maana ww ni mwanadamu,kukosea ni kawaida
2026-08-21 11:03:55
0
Golden saw :
Bora ukae pembeni hawaaminiki hao
2026-08-21 04:06:56
1
Dr.Sikamona :
sheikh shafii tunakupenda lkn pale kwa sheikh waliid uliongea KINAFIKI SANA ULITUKWAZA SANA VIPENZ AA SHEIKH WALIID
2026-08-21 14:22:24
0
Rojalay :
hawafanani aliesoma na ambaye hajasoma Kwa hakika unaongea kisom sana shekh
2026-08-21 12:08:38
0
luangilahemedi :
💪💪
2026-08-21 04:11:59
1
Mohamed Hussein :
💯
2026-08-22 12:23:54
0
To see more videos from user @5star_newstz, please go to the Tikwm
homepage.