@abuu_hafswah: KHUTBAH - MAULID NI BID'AH Sheikh Abuubakar Omari Magambo عن العرباض بن سارية رضي الله عنه قال: وعظنا رسول الله صلى الله عليه وسلم موعظة وجلت منها القلوب، وذرفت منها العيون، فقلنا: يا رسول الله، كأنها موعظة مودع فأوصنا. قال: أوصيكم بتقوى الله، والسمع والطاعة، وإن تأمر عليكم عبد، فإنه من يعش منكم فسيرى اختلافا كثيرا، فعليكم بسنتي وسنة الخلفاء الراشدين المهديين، تمسكوا بها، وعضوا عليها بالنواجذ، وإياكم ومحدثات الأمور، فإن كل محدثة بدعة، وكل بدعة ضلالة Kutoka kwa Al-'Irbad bin Sariyah (Mwenyezi Mungu awe radhi naye) amesema: Ametupa mawaidha Mtume wa Mwenyezi Mungu (Rehema na amani ziwe juu yake), mawaidha ambayo kutokana nayo nyoyo ziliingiwa na hofu na macho yakatokwa na machozi. Tukasema: "Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, kana kwamba haya ni mawaidha ya mtu anayeaga, basi tuusie." Akasema: "Nakuusieni kumcha Mwenyezi Mungu, na kusikia na kutii (viongozi wenu), hata kama mtatawaliwa na mtumwa. Kwani hakika yule atakayeishi (muda mrefu) miongoni mwenu ataona hitilafu (mifarakano) nyingi. Basi ni juu yenu kushikamana na Sunnah yangu na Sunnah ya Makhalifa waongofu walioongozwa (katika njia iliyonyooka). Shikamaneni nayo, na muing'ate kwa magego yenu (ishikilieni kwa nguvu zote). Na tahadharini na mambo yaliyozushwa (katika dini), kwani kila jambo lililozushwa ni bid'aah, na kila bid'aah ni upotovu." #creatorsearchinsights #fypシ #islamic_video #dini #tiktoktanzania🇹🇿

أبو حفصة الحنبلي
أبو حفصة الحنبلي
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 21 August 2026 04:41:11 GMT
134
24
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @abuu_hafswah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About