@lusi.tv1: #zhaolusi_赵露思👑✨ #lovestory #rosy #trieulotu #xuhuongtiktok

赵露思的抖音
赵露思的抖音
Open In TikTok:
Region: VN
Friday 21 August 2026 08:26:41 GMT
1476
239
8
4

Music

Download

Comments

aye.thiri.247
Aye Thiri :
❤️❤️
2026-08-21 14:07:46
1
.k80806
2007.👻 :
🥰🥰🥰
2026-08-21 08:39:52
1
mwe9121
Khin Yu Par :
🥰🥰🥰
2026-08-21 09:07:44
1
user5086273049754
user5086273049754 :
🥰🥰🥰
2026-08-21 13:35:38
1
To see more videos from user @lusi.tv1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Biashara 10 Zinazolipa Tanzania…👇🏽 Kuna “uhalifu” mkubwa unaendelea Tanzania…😅 Haiwezekani nchi ina fursa nyingi hivi, halafu kila siku watu wanasema hakuna biashara za kufanya, hakuna opportunities na hakuna namna ya kutengeneza pesa. Tatizo ni kwamba wengi wakisikia neno biashara, akili inaenda moja kwa moja kwenye boutique, restaurant, salon, kuuza simu au biashara nyingine ambazo zinaonekana vizuri kwenye Instagram. Lakini ukweli ni huu: Biashara yenye show off nyingi sio lazima ndiyo yenye pesa nyingi. Mara nyingi pesa iko kwenye vitu ambavyo watu wengine wanaona ni vidogo, boring au havina status. Kusafisha ofisi. Kufua mashuka ya Airbnb na hotels. Maintenance ya apartments. Kusupply bidhaa kwenye offices. Bookkeeping. Content kwa biashara ndogo. Hizi sio biashara ambazo kila mtu atakupongeza ukisema umeanza. Lakini kama zinatatua tatizo ambalo mteja analo kila wiki au kila mwezi, hapo ndipo opportunity kubwa inaweza kuwa. Kwa mfano, cleaning business inaweza kuonekana simple sana. Lakini ukipata offices 5 zinazokulipa kila mwezi, hauuzi tena “usafi” tu unaanza kujenga recurring revenue. Na laundry nayo sio lazima uwe unasubiri mtu mmoja aje na mashati yake manne. 😂 Unaweza kulenga salons, spas, gyms, restaurants, apartments, guest houses na Airbnb ambazo zinahitaji towels, sheets na uniforms zisafishwe tena na tena. Hapo ndipo mchezo unabadilika. Ujumbe wangu ni mmoja: Usitafute tu biashara inayopendeza. Tafuta tatizo ambalo watu wako tayari kulipia ili litatuliwe. Na kama changamoto yako ni kuona opportunities za kutengeneza pesa ambazo wengine wanazipita kila siku, nimeandika kitabu kinaitwa “Siri 69 za Kupata Pesa.” Ndani yake nimeweka ideas na principles zitakazokusaidia kuanza kuangalia pesa na opportunities kwa jicho tofauti. Link ipo kwenye bio yangu …chukua copy yako. 📖🔥 Wengine tayari wameshasanuka na wanafanya hizi biashara lowkey kabisa. Walio na njaa na pesa hii biashara wanaikamia fresh tu… Aibu utaona wewe. 😂🔥 Full video ipo YouTube: “Biashara 10 Zinazolipa Tanzania… Unaweza Kuanza Bila Pesa!” #BiasharaTanzania #Ujasiriamali #Entrepreneurship #BusinessTanzania #TanzaniaBusiness

About