wewe baba umefanya mimi niache uvivu Yani nimepata nguvu
2026-08-24 21:24:03
6
masuod :
we lala tuu
2026-08-25 05:14:15
1
Baba B🇱🇷💥 :
cha msingi kila.mtu na maisha yake mkuu pia pambana na familia yako na maisha yako itakusaidia sna hi mitandao bwna kila mtu kachanganyikiwa apa bongo we ishi maisha yako bas
2026-08-25 01:58:01
3
hiza_hiza tz :
Tuamke mapema tunaenda wapi sasa 😂😂😂
2026-08-24 12:31:23
4
LekeyB :
😂😂😂😂😂 blaza fogo unatufokea sasa
2026-08-24 21:23:47
1
Issa Carlos :
ila brother
2026-08-26 17:45:07
0
Ms😍broilerTz :
Sasa niwai kuamka niende wapi😂😂😂😂naombeni kaz jaman😳
2026-08-24 18:41:35
0
#Billiard Pro :
Yan hii clip imenikuta nimelala jmn uuuuwiii..
fogo nipe raman ndugu yangu plz plz,, nina million 2 nifanyeje ndugu yng?
2026-08-28 14:51:03
0
Lackson Clemence Omary :
braza nyingi
2026-08-24 12:40:37
3
a2 :
nipeshule ya shamba nilime
2026-08-28 05:13:17
0
Genious Refrigetion :
nahitaji nije nikutembelee nijifunze kwa vitendo
2026-08-28 14:46:46
0
Soon Eliasi :
🤣🤣 hakika
2026-08-28 10:39:08
0
Iddi mnembo :
msijali wanangu TUKO WENGI🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-28 09:35:46
0
DJ Tege :
fogo kama fogo kaka
2026-08-24 12:14:53
2
user7211659580358 :
tumutumie Majin kaka maana wamesha nichosha kusema kaka uko mjin ss tunakufa njaa nitumie
2026-08-24 12:55:18
2
kasilo 4974 :
huyu ndio fogo
2026-08-24 16:58:29
1
joshua :
haya usiku mwema
2026-08-24 15:25:07
1
nenga😇 :
iringa finest
2026-08-26 16:59:54
0
living stone :
shida hutupi namb za conection
2026-08-25 19:09:56
0
waganda🇹🇿🇧🇮🇨🇩🇰🇪 :
unanifrahisha sana kaka chaka tu chaka tutawatumia Yani tutawachangia sana
2026-08-26 21:14:42
0
Brown26 :
😂😂😂 Fogo master
2026-08-28 11:00:20
0
MAN 2 MAN :
🤣🤣🤣 ngoja nilale mnichangie
na godoro mmenichangia
2026-08-28 11:30:59
0
mungumwema :
🤣🤣🤣kumbe huo nao mchongo
2026-08-26 11:14:25
0
Damian :
tutawatumia majini maboya ngoja
2026-08-24 18:46:07
0
To see more videos from user @emmanuelmbegalo, please go to the Tikwm
homepage.