@muu.saleh: Niambie kwenye comment kama upo katika hiyo list 😂🙌 na wale wa kutaka vitu vya makeup vyoteee unapata kwa @shopping_hour #fyp #viral #makeuptz

Muuh saleh
Muuh saleh
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 11:17:53 GMT
38442
4092
297
74

Music

Download

Comments

liyaaaa_i
liyaaaa_i :
Awwww make up 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽I’m in
2026-08-26 18:38:05
0
bigmoto8
BIG MOTO :
picture is worth then thousand words
2026-08-26 10:07:39
4
mozaalbusaidi
mozaalbusaidi :
that me no 3🥰
2026-08-26 09:45:56
0
niwahchimah
niwahchimah :
me nawaonea wivu wale wanaojua kubadlish vyumba vyao mar Leo kigeukie huku mar huku jamaniii 🙌😂😂😂
2026-08-25 11:28:23
60
zaylee67
zaylee :
shopping hour yupo vizur san kwa vitu vya makeup 🥰🥰🥰
2026-08-25 17:15:08
1
elegant.lady625
Elegant lady❤️ :
kwenye shape apooooo😂😂😂 nashukuru muumba😂
2026-08-25 11:30:15
7
lubnar70
Lubnar :
😂😂😂Mm namb1
2026-08-26 21:43:00
0
annajeremia609
HANNA MOANA❤️ :
Hao wanaojuw kuogelea ata mim nawaonea wivu bn
2026-08-25 11:26:03
39
louh022
Bilouh🤎 :
Muuh ukoo kama mimi huna mbele wala nyuma tupo tupo tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 11:30:01
16
suzanaevarist699
Suzy💞 :
2026-08-25 16:06:50
5
fajmahjumah
🎀Fj🎀 :
Cna ata kimoja daaah dhambi 🥹🥹
2026-08-25 12:26:10
6
muzlat02
muzlat02 :
here iam littl nguva and natural shape
2026-08-25 11:25:30
12
oficialmoureen
oficialmoureen :
muuh una bby face nzur sanaa hata wenye unawaonea wivu hawakufikii nakupendaa bure🥰
2026-08-26 20:51:54
2
shabanishabani795
Shabani Shabani :
leo umeongea pumba minkajua utakuja nataarifa yamatukio yani umeniangusha leo
2026-08-25 17:54:07
0
gracengwatu
grace jolly ngwatu :
adi mimi najionea wivu mwenyewe 😋😂
2026-08-25 12:56:03
1
ruzumaruzuma
Ruzuma Ruzuma :
huyu dada nampeda ila mda mwenngine anamajibu siyo
2026-08-26 11:52:44
1
biubwa.aljahadhmy
Biubwa Aljahadhmy :
mimi naogeleya sanna na nimefundisha waru wengi
2026-08-25 16:57:54
1
pretty.face018
Pretty face 😘 :
katika Ivo najipongeza nafanya makeup 💄🥰
2026-08-26 17:50:25
2
amlocsan
~locsan~ :
Mim jaman nakupenda dear hadi nishazuiliwa kusikiliza story zake jaman mana kuna muda najisahau hadi kuosha vyombo😂😂😅
2026-08-26 12:20:59
2
ashurashomari11
💗💗Me💗 :
Hata kimoja sina jmn😂😂
2026-08-25 14:15:23
2
bora_makeup_beauty
Bora makeup 💄 :
Ngojaaa nikutambieeee babeeee poleeeeee ninacho kimojaaa Ila na wew napendaaa sauti yako
2026-08-25 13:29:49
1
swafaa06
Swafaa Makeup&Hairstyle06 :
Nipo kweny ilo kundi 🙏🥰
2026-08-25 16:29:43
0
diatomapesa
DIATO BRAND KID :
we mdada nakupenda wewe yan acha2 sema sina uwezo wa kuku pata 2
2026-08-25 11:27:52
1
To see more videos from user @muu.saleh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About