siyo yeye siyo yeye a few moment later ni yeye ni yeye 😂😂😂😂😂
2026-08-25 17:57:41
0
R🔥 :
Alikuw anachungulia nn tuwe wakwel
2026-08-25 17:03:34
61
Kigamboni Photo Studios :
Anyway karibuni mjipatie photoshoot kali 🔥🔥🔥
2026-08-25 17:01:51
6
Auntsekenya :
xx najiulz hko chin ulianglia nn
2026-08-25 18:57:31
0
NENGA 🦀OG🦞45 :
ivi mboneke bro una shida gan ww 🤣🤣🤣🤣🤣😂
2026-08-25 17:41:29
23
Monica kibassa :
eheeheeee
2026-08-25 18:01:28
0
Magembe John :
tunaomkubar mc mboneke like hapa😂😂😂
2026-08-25 17:12:29
18
mlunza electrical supply :
hii inchi tu iristast
2026-08-25 18:14:02
8
Psadcar :
Ni yeyye ni yeyye 😂😂😂😂
2026-08-25 17:09:21
43
CHINO D :
alikuwa ashakula nini mboneke
2026-08-25 17:06:51
6
nas boy 26 :
tunao tumia WiFi kuangalia gonga like
2026-08-25 18:16:00
33
Israel Anna :
Hatimaye msemo mpya in town😁😁...Ni yeye ni yeye!!🤣
2026-08-25 17:11:07
13
micho43 :
Jinga kwel
2026-08-25 17:23:01
2
Dee💞💞🍒🍒 :
ila mbb
2026-08-25 17:11:43
7
Abdallah :
Gonga like kama unaangalia kwenye wifi huku ukicheka😂😂
2026-08-25 18:37:14
3
Emma muuza konyagi simba :
ila wew jaman 😁😁😁😁😁
2026-08-25 17:06:20
3
vitus simbeye :
hahahah ndoo wakoo uyooo
2026-08-25 17:06:09
2
Dullyspatan :
Leo
2026-08-25 17:02:27
1
Kigamboni Photo Studios :
😁😁😁Hilo chaguo 🙌🙌
2026-08-25 17:01:26
4
ABDUL HAMID :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema😂🤣
2026-08-25 18:39:56
0
omar :
🤣🤣🤣🤣 ila mbonek bwan
2026-08-25 17:15:30
2
jang hyuk :
kaka.
2026-08-25 17:01:41
0
user@Deotesha :
sina hakika kama mboneke nimzima asilimia zote🤣🤣🤣
2026-08-25 18:24:08
1
THOBiASi simioni :
umeona nini
2026-08-25 17:10:35
1
kidungi mushedede :
ni yeye 😂😂
2026-08-25 17:05:16
1
To see more videos from user @mcmboneke_comedian, please go to the Tikwm
homepage.