@miisyymiyaa: THESE LASHES TOOK ME 4 MINUTES WITH NO CUTS! ontop of that they checked all of the boxes. strong, easy, natural, AND QUICK what more can you ask for ?? #influencer #tiktokmademebuyit #foryoupage #xyzbca #lashtutorial

💲upageek
💲upageek
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 26 August 2026 23:04:34 GMT
221
33
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @miisyymiyaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

🌹 ROZARI TAKATIFU 🌹 🙏 TUSALI KWA IMANI KUU 🙏 📿 JUMATANO & JUMAPILI ✨ MATENDO YA UTUKUFU ✨ 🙏 NIA YETU KUU 🙏 Mama Yetu Bikira Maria, tunakushukuru kwa baraka na neema zako. Leo tunakukabidhi Rozari hii pamoja na mahitaji yetu yote. 🌹 Waangalie wagonjwa na wadhofu, 🌹 waangalie wakosefu, 🌹 ndoa na familia zetu, 🌹 kazi, biashara na utume wetu, 🌹 watoto na wazazi wetu, 🌹 Kanisa na Wakristo wenzetu, 🌹 pamoja na Taifa letu. Mama Maria, tunakuomba utuombee na utupeleke kwa Mwanao Yesu. Amina. 🙏 ━━━━━━━━━━━━━━ 📿 MATENDO YA UTUKUFU 1️⃣ TENDO LA KWANZA ✝️ Yesu anafufuka. 🙏 Tumwombe Mungu atujalie kugeuka watakatifu. 2️⃣ TENDO LA PILI ✝️ Yesu anapaa mbinguni. 🙏 Tumwombe Mungu atujalie kwenda mbinguni. 3️⃣ TENDO LA TATU 🔥 Roho Mtakatifu anawashukia Mitume. 🙏 Tumwombe Mungu atujalie bidii katika dini yetu. 4️⃣ TENDO LA NNE 🌹 Bikira Maria anapalizwa mbinguni. 🙏 Tumwombe Mungu atujalie kufa vizuri. 5️⃣ TENDO LA TANO 👑 Bikira Maria anawekwa Malkia mbinguni. 🙏 Tumwombe Mungu atujalie kudumu katika njia njema. ━━━━━━━━━━━━━━ 📿 KATIKA KILA TENDO: 🙏 Baba Yetu 🌹 Salamu Maria × 10 ✝️ Atukuzwe Baba ❤️ Tuwasifu milele, Yesu, Maria na Yosefu. Ee Yesu mwema, utusamehe dhambi zetu, utukinge na moto wa milele, uongoze roho zote mbinguni, hasa zile zinazohitaji zaidi huruma yako. ━━━━━━━━━━━━━━ 🌹 SALAMU MALKIA 🌹 Salamu, Malkia, Mama mwenye huruma; uzima, tulizo na matumaini yetu, salamu. Tunakulilia katika bonde hili la machozi. Ee mwombezi wetu, utuangalie kwa macho yako yenye huruma, na mwisho wa ugeni huu utuoneshe Yesu, mzao mbarikiwa wa tumbo lako. 🙏 Mama Maria, Malkia wa Rozari Takatifu, utuombee. ❤️ Yesu, Maria na Yosefu, tunawapenda. Tuokoe roho zetu. ✝️ Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina. #RozariTakatifu #MatendoYaUtukufu #MamaMaria #relatable  #tiktoktanzania🇹🇿

About