@infradox: Planned release #fyp #xyzbca #fypシ #dandysworld #shelbisworld

infradox
infradox
Open In TikTok:
Region: CA
Friday 28 August 2026 09:09:58 GMT
139109
12017
330
905

Music

Download

Comments

austingreylopez
LOOEY_2026ماك نيريبا :
how to play shelbies world
2026-08-28 10:23:48
16
syuhaelahmad3
syuhaelahmad :
Dandysworld is getting a remake which all your fav toon characters are now getting redesign like that shelly model
2026-09-02 03:42:27
0
teds.factory
Tedsion🪽 :
Don’t tell me your going to add fog as a blackout…
2026-08-28 09:22:06
761
fucking.stupid.friends.1
༘˚⋆𐙚。Rinkai or rinko⋆𖦹.✧˚ :
WHO THE FUCK IS THAT😭
2026-08-28 09:32:39
397
bassie_6767
💜🌷🌸~bassie~🌸🌷🩷 :
cómo se llama el juego??
2026-08-28 16:32:31
24
user_0985014656
пушечка :
ну и зачем? чтобы за неделю его удалили?
2026-08-28 21:12:04
326
nugget676767676
astroke :
avarage using shelly experience
2026-08-28 17:20:43
74
emmanuelplaygame
manolo :
2026-08-28 14:31:57
25
atiaa_2
meowtuff :
shelbis world is going to released in 2028 new years😭
2026-09-01 14:43:32
1
bratishko2
yobishe moxnatoe :
фу нет я тогда мир денди заброшк
2026-08-28 20:40:17
38
goldamica
ᕲᗩᘉᖻᑢᗩᖶ 𐂂ඞ𐂄꧁ :
Bro..... Si hacen así juro que ya no jugaré mas😭
2026-08-29 12:05:06
9
sixseven_67gazan
°•Скитлс•° :
end
2026-08-28 18:33:48
9
nugopac67
💘 🦟 Angelo's wife🏹 💚 :
Что это, обесните что за цифры на видео
2026-08-29 14:08:11
7
user3407706946294
что-то там :
не шути со временем
2026-08-29 10:45:47
6
1a_d_e_l_i_n_a
_★🎀𝓢𝓹𝓻𝓸𝓾𝓽🎀★_ :
2027 delete dandy's world now like this...
2026-08-29 09:14:52
5
rainbow_dash674
⌢⌢ ☀️ . wonder . 🌀 ⌢⌢ :
I CAN’T WAIT THAT LONG 😭✌️
2026-08-28 09:35:14
8
pudding.pup0
Numnoms:33 :
Can someone give me 80 robux? Just asking
2026-08-28 14:39:25
7
pastelka_cz1
💢✨•WAX•🍓📺💝~ :
what game name?
2026-08-28 11:24:50
8
poochini280a
Banana :
what this could mean? a release date?
2026-08-28 09:13:06
6
To see more videos from user @infradox, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Baada ya mapumziko mafupi mchana wa leo, kesi ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Antiphas Lissu, ilirejea huku Katibu Mkuu wa chama hicho, John John Mnyika, akipanda kizimbani kukabiliana na maswali ya dodoso kutoka kwa Wakili wa Serikali Mkuu, Nassor Katuga. Moja ya maeneo yaliyozua mjadala ni pale Katuga alipohoji kama raia yeyote, ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA, ana haki ya kuzuia uchaguzi mkuu uliowekwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Mnyika alitoa jibu akisema,
VIDEO: Baada ya mapumziko mafupi mchana wa leo, kesi ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Antiphas Lissu, ilirejea huku Katibu Mkuu wa chama hicho, John John Mnyika, akipanda kizimbani kukabiliana na maswali ya dodoso kutoka kwa Wakili wa Serikali Mkuu, Nassor Katuga. Moja ya maeneo yaliyozua mjadala ni pale Katuga alipohoji kama raia yeyote, ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA, ana haki ya kuzuia uchaguzi mkuu uliowekwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Mnyika alitoa jibu akisema, "Ni haki kwa uchaguzi usio huru na wa haki, ni haki kuuzuia kwa njia za kidemokrasia. Ni haki kabisa". Amesisitiza kuwa wananchi wana haki ya kushiriki uchaguzi ukiwa huru, wa haki na halali tu. Katuga alimtaka Mnyika kufafanua kile alichokisikia wakati wa hotuba ya Tundu Lissu katika mkutano wa watia nia wa Aprili 3, 2025. Mnyika alikiri kusikia kauli za ‘Polisi kukimbia na mabegi ya kura’, ‘tunaenda kuzuia uchaguzi’ na ‘tunaenda kukinukisha’ akisema kuwa Lissu alifafanua kauli hizo. Katuga alipohoji kama Mnyika ameleta mahakamani hotuba hiyo inayofafanua maneno hayo, Mnyika alijibu: "Nimeileta kwa maelezo ya mdomo kwasababu si wajibu wangu kuthibitisha mashtaka". Katuga alijaribu kumjenga Mnyika kama shahidi mwenye masilahi binafsi (interested witness) katika kesi hiyo, kwa kuwa uteuzi wake kama Katibu Mkuu ulipendekezwa na mshitakiwa (Tundu Lissu), na kwamba yeye ndiye aliyeratibu kikao cha Kamati Kuu cha tarehe 29 Agosti 2026 kilichoazimia kumtetea Lissu kwa nguvu zote. Mnyika alikataa vikali madai hayo akieleza kuwa masilahi yake katika kesi hiyo yanawakilisha masilahi ya chama (party interest) na masilahi ya umma (public interest), na siyo masilahi yake binafsi.

About