@azzabouy: Wataka utajoin hutaki kaa utuwe mungu akutuze 🤝🙏#fyp

Babaz🏝️
Babaz🏝️
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 29 August 2026 19:06:43 GMT
20397
1737
110
60

Music

Download

Comments

ahmed.osman105
Ahmed osman :
try at your own risk
2026-08-30 03:49:15
0
_.ukhty.amu._
🦋❤️amuu❤️🦋 :
babaz meh naja broo ngoja nimalize form 4 😁
2026-08-29 19:12:06
0
abdullahi.047
𒆜𝑨𝑩𝑫𝑼𝑳𝑳𝑨𝑯𝑰🇦🇪🇺🇸𒆜 :
Hii ni movie au🥹
2026-08-29 21:05:40
0
manmanuh254
man manu :
this is a real thing
2026-08-30 05:18:24
0
zakvisuals
Zak Visuals :
mahali kuna pesa hakutangazwi hivo, wealth is silent
2026-08-29 19:45:54
67
mindmastery_tutor
Mindmastery tutor :
yes si lazima tuje😁😁
2026-08-29 19:43:10
16
naybeautyproducts
naybeautyproducts07.90.391.312 :
Sijawai kuona kazi ya kulazimishwa ivi 😂😅
2026-08-30 00:53:05
11
user463208347
1234 :
Mbona nyinyi hamutaki iyo gari
2026-08-29 20:11:41
8
moonys_labania
moony's labania :
pesa yoyote ya haraka ina mushkila
2026-08-30 05:39:06
2
59powe05
💝Nellie powers🇰🇪🇰🇪 :
ata sisi hatutaki kubembelezwa😅
2026-08-30 04:30:38
3
sirlawper_wizard1
sirlawper_wizard1 :
eeenh baba tuweni hatutaki alaaaaa😂hta sjui ntawatow vp Kwa fyp yngu
2026-08-30 04:25:17
2
ifiperishiperish1
none :
😂😂😂
2026-08-29 19:10:49
1
i5h331
i5h331 :
Yall do know that BF SUMA is a Ponzi scheme right
2026-08-29 20:48:28
2
kenyan.eth
Kenyan🇰🇪 :
Subirini court order
2026-08-29 20:43:34
1
early_man4
Early man :
utaambiwa utoe 5k fee 😂😂
2026-08-30 04:08:06
0
aliceadela00
Adelah_ :
mwasema sisi hatuna maendeleo, yenu yako wapi?
2026-08-29 21:39:43
0
celeb.wavipingo
Celeb wa Vipingo :
Hatuta Join hakuna pesa ya Rahisi
2026-08-30 04:25:20
1
tonka5884
Tonka :
after kumalizana na Nairobi sasa mmefikisha scam mombasa 😂
2026-08-30 03:14:49
1
ummu_sulaym
ummu sulaym :
kamari
2026-08-29 20:27:31
1
swabz123
Azzahh :
💯💯💯Legit
2026-08-29 19:17:12
1
aisharedbutterfly
꧁乂❤️RED BUTTERFLY❤️乂꧂ :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-08-30 07:29:33
0
guraya0012
mwanamoto🔥 :
Hata cc hatulazimishwi hasira za nini hahaha😂😂😂😂😂
2026-08-30 07:47:55
0
To see more videos from user @azzabouy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About