@wanderwithkara: 5-star luxury hotel in Midtown Manhattan, with some of the most spacious rooms I’ve seen in New York City! The sofa is also a pull out bed! There’s also a 24 hr gym! 📍The London NYC #travel #nyc #tiktokgotophotels #tiktokgogetawaystays #tiktokgobesthotel

wanderwithkara
wanderwithkara
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 01 September 2026 05:17:55 GMT
1032
21
4
1

Music

Download

Comments

ctruongg7
ctruong :
Wooww biggest room I’ve seen yet
2026-09-01 05:50:43
1
johnnyc149
GioUSA 🇺🇸 :
New York
2026-09-04 15:30:11
0
sundaymarisel
sundaymarisel :
Hi 👋
2026-09-19 15:53:08
0
To see more videos from user @wanderwithkara, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Kila mahali huwa kuna vita, na ukiona vita ujue wewe upo na nguvu kubwa ya kiroho ambayo wewe huijui cha msingi omba kwa bidii wala usiogope kwa kuwa Mungu yupo pamoja na wewe ili akuokoe.. MAOMBI Baba katika jina la Yesu Kristo ninakuja mbele zako maana imeandikwa  📖Kutoka 14:14
Kila mahali huwa kuna vita, na ukiona vita ujue wewe upo na nguvu kubwa ya kiroho ambayo wewe huijui cha msingi omba kwa bidii wala usiogope kwa kuwa Mungu yupo pamoja na wewe ili akuokoe.. MAOMBI Baba katika jina la Yesu Kristo ninakuja mbele zako maana imeandikwa 📖Kutoka 14:14 "BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya". Baba katika jina la Yesu Ninaomba nipiganie kila vita iliyoko kazini kwangu Kila vita nisiyoiona kwa macho Nipiganie Kila vita ya maneno kazini Nipiganie Kila vita iliyoanzishwa na wafanyakazi wenzangu Nipiganie Kila vita iliyotoka kwenye ukoo wa mama/baba Katika jina la Yesu Kristo Maana imeandikwa 📖Zaburi 35:1 "Ee BWANA, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami. Baba katika jina la Yesu Kristo Ninaomba mtume malaika wako Apigane na wanaopigana na nafasi yangu kazini Apigane na wanaoniongelea mabaya Apigane na wanaonifanyia uchawi kwa siri Apigane na wanaotaka kunishusha kazini katika jina la Yesu la Yesu Kristo Nafunga vinywa vinavyoongea mabaya kwa maboss zangu Nafunga kila kinywa kinachoongea mabaya juu yangu katika jina la Yesu maana imeandikwa 📖Waefeso 6:11 "Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani". Naval silaha zote za Mungu katika jina la Yesu Ninaangamiza hila za shetani kwenye kazi yangu Ninaangamiza hila ya shetani iliyo ndani ya wafanyakazi wenzangu katika jina la Yesu Baba Navunja madhabahu za giza nilizojengewa na wafanyakazi wenzangu Navunja madhabahu za ukoo zilizo kinyume na kazi yangu katika jina la Yesu Yoyote anaetaka kunishusha kazini nashumsha yeye kwa jina la Yesu Kristo Ninaamuru kuanzia sasa jina langu litakuwa la kwanza kwenye promotion kazini Jina langu litakuwa la kwanza kwenye kupanda cheo Jina langu litakuwa la kwanza kwenye kusaini tender mbali mbali mbali katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai Baba utukufu wako uniongoze Nuru yako iniangazie Najitabiria kila mema yanifuate ninapokuwa kazini katika jina la Yesu Kristo..Ameen #creatorsearchinsights #verity

About