@fadhakkir_tv: Ndugu zangu Waislamu na wapenda kheri, tunawaomba muwe sehemu ya kujenga nyumba ya Allah kwa kuchangia chochote alichokuwezesheni Allah. Usione mchango wako ni mdogo, kwani mbele ya Allah hakuna sadaka ndogo. Hata kiasi kidogo mfano wa kokwa ya tende,Allah hulipa mara nyingi zaidi kwa fadhila zake. Msikiti huu unapatikana kijiji cha Nanjii,wilaya ya Nachingwea,mkoani Lindi 📱 M-PESA: +255 755 848 508 📱 TIGOPESA: 0718 820 808 ➡️ LIPA KWA SIMU: 180 932 17 📱 AIRTEL MONEY: 0698 313 968 ➡️ LIPA KWA SIMU: 652756000 🏦 CRDB BANK 💳 0150916466800 🏦 NMB BANK 💳 24510047774 👤 JINA LA USAJILI: FADHAKKIR TV 🤲 Allah akulipe mema ya dunia na Akhera, akuzidishie katika riziki yako na akufanyie wepesi katika kila jambo jema. Allahumma Aamiin.