Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@myloveskhan8: #CapCut #foryoupage #foryoupage #💔🥀 #💔🥀 ❣️ S ❣️@🪔ishq zaadi🪔 @꧁༒☬Khan_Niazi☬༒꧂
my life line S
Open In TikTok:
Region: PK
Wednesday 02 September 2026 17:20:09 GMT
2658
385
1
68
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.3MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.3MB
)
Watermark .mp4 (
0.51MB
)
Music .mp3
Comments
🪔ishq zaadi🪔 :
2026-09-02 17:23:18
2
To see more videos from user @myloveskhan8, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
I cant lie ha mama made some fyne shyttt #tatianachanell #mom #tati #bostonrichey #bostonricheyandtatiana #tatianachanellmom #daughterandmom #mood @Tatiana
#lovepoetry❤️ #lovepoetry❤️ #hearttouchpoetry #urduquotes #shayri
#عباراتكم_الفخمه📿📌 #شعب_صيني_ماله_حل😂😂 #خواطر #اقتباسات📝 #اكسبلور
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amesema dunia inaingia katika “eneo hatarishi” la hali ya hewa kutokana na kuimarika kwa El Niño, inayotarajiwa kufikia kiwango cha juu mwishoni mwa mwaka huu. Guterres amesema ongezeko la joto la bahari na kupanda kwa joto duniani vinaashiria hatari ya kuongezeka kwa matukio ya hali mbaya ya hewa. Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa Duniani (WMO) limesema El Niño imeimarika na inatarajiwa kuwa na nguvu kubwa katika miezi ijayo, huku hali hiyo ikitarajiwa kuendelea hadi Februari. Shirika hilo limeonya kuwa athari zake katika mifumo ya joto na mvua zinaweza kuendelea hadi mwaka 2027. Kwa mujibu wa WMO, kuimarika kwa El Niño kunaweza kuongeza hatari ya mafuriko, ukame na joto kali katika maeneo mbalimbali duniani. Ingawa El Niño ni hali ya asili ya tabianchi na haisababishwi na mabadiliko ya tabianchi, wataalamu wanasema inaweza kuchochea zaidi joto na matukio ya hali mbaya ya hewa katika sayari ambayo tayari inapata joto kutokana na uchomaji wa nishati za mafuta. Guterres amesema dunia iko katika mazingira ambayo hayajawahi kushuhudiwa, akitaka mataifa kuongeza kasi ya kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kulinda jamii dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza. Amesema ushindani uliopo sasa ni kati ya kuongezeka kwa hatari za hali ya hewa na kasi ya hatua zinazochukuliwa kuwalinda watu. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
#الشعب_الصيني_ماله_حل😂😂 #foryou #explore #duet
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy