@mamasubmeter_tz: 📞0713130595 Location: Kariakoo, Lindi & Congo Product: single & three phase meters Submeter sio kifaa cha ziada ❌ Ni suluhisho la migogoro ya umeme, hasara na malalamiko ya kila mwezi ⚡ Kama unauza au unafunga vifaa vya umeme, hii ni fursa 💡 Elimu sahihi = wateja wa kudumu. 📩 DM kwa ushauri na huduma. #SubmeterTanzania #UmemeTz #VifaaVyaUmeme #ElectricalSupplies #HardwareTz

MamaSubmeter_Tz
MamaSubmeter_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 05:15:30 GMT
5637
158
12
22

Music

Download

Comments

irmbrands
irmbrands :
mama submita kumbee sioo kinyongeee eee
2026-09-05 08:28:16
1
jemu433
jemu :
Hujawahi kujibu swali…wapangaji wengine hawajaweka umeme mimi nmeweka kwenye meter kuu na submiter je wapangaji ambao hawana submitter watakuw wanautumia ule umeme wangu wa meter kuu??? Na je huo umeme ukiisha meter kuu kwangu mimi mwenye submeter utakata pia??? Hilo ndiyo swali ambalo hujawahi kulijibu
2026-09-05 07:03:29
1
leoniamdee
bahati laizer :
kwahiyo ukipata token mbili Moja ukiweka Kwa mita ya tanesko jee Kila mwenye sabmita anatakiwa kufanya hivo?
2026-09-05 06:48:26
0
shaabymzara
shaabymzara :
mfomo wenu hupi?
2026-09-05 06:41:15
0
To see more videos from user @mamasubmeter_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About