@kalungu_therapist: Mwanamke hutumia hisia zaidi..! #fypシ゚viral #marriage #trust #loyalty

kalungu_therapist
kalungu_therapist
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 10:06:24 GMT
24441
1688
150
148

Music

Download

Comments

sabra.mii
Sabra Mii :
mambo yakizidi unazima hisia unawasha akili mwendo mdundo😁
2026-09-05 11:46:35
155
sarah.sandraa0
Sarah Sandraa :
nimetumia akili na nikamuacha siku hyo hyo
2026-09-05 11:32:11
64
lovenesshenry
lovenesshenry :
Me tangu nianze kutumia akili sijawa kuumia
2026-09-06 08:07:20
6
elegant_phones
elegant_phones&accessories :
Tumezima hisia tumewasha akili siku hizi😅
2026-09-06 05:12:18
6
bomanisaada
saada bomani :
Nimezima hisia nikawasha akiliii sasa ni mwezii sipigiwii cm na mimi sipigiiii
2026-09-05 18:47:10
17
berthakadaso
Becka :
hapo hujadanganya😂😂😂😂
2026-09-06 09:46:13
1
zuwena1914
Zuwena$ :
Kikubwa uzima upo basi🙏🙏
2026-09-05 12:26:34
10
teefanny29
Tee🫂🤍 :
Ndo usiombe hisia ziishee kwa mwanamkee😅😅😅!!!!
2026-09-05 22:21:53
9
dididija57
Didi Dijaa🦋🌸 :
Vyote nishavizima so akili wala hisia liwalo na liwe😂😂
2026-09-05 20:42:27
6
official_leylah
Leylah🦋 :
Nilivowasha akili tu tukaachana😂😂😂
2026-09-06 11:13:34
0
merrynoah966
Mary Noah :
Umeongea ukweli bro ila had mwanamke akianz kutumia akili ujue mwanaume ni chanz cha kumfikisha huko, mwanamke akihis kutothaminiw na kudharauliwa lazima aanze kushtuk na kutumia akili,na hii ndo hali yang ya sas na tang nianz kutumia akili , nimegundua vitu ving mno ambavy nilikuw sivijui na in bad lack hisia zimeanz kupotea
2026-09-06 06:08:34
4
itsshifra2
its_shifra :
na yameshaisha hapa ya kwangu kisa kutumia akili 😂
2026-09-06 08:28:30
1
bei_za_malaika
Bei_Za_Malaika :
Nikitumia akili kila wiki tunagombana 😁😁😁
2026-09-06 08:08:18
0
phi2552
aphina faustine :
mi nilitumia hisia akanambia izo hisia nifanyie kaz ntafika mbali😅😅😅
2026-09-05 22:50:12
3
1225lux
Lux Mund :
ati nini😳, ndiyo maana siwezi husiana drama siwezi mimi
2026-09-05 23:45:51
1
cherry3456f
Cherryl 🫦🍒🥀 :
Tutumie hisia ili mtutes sio 😏😏tumegoma akun cha hisia
2026-09-05 18:49:29
3
nkyale47
💋 :
Nimezima hisia nimewasha akili bado vitendo
2026-09-05 21:45:04
1
manka1617
Manka✨️ :
ikiwezekana zima vyotee songa mbele kama injilii😂😂😂😂
2026-09-05 21:14:03
1
brinasabry
Briana :
uwe team Leo ♌ alafu introvert na utumie akil lisaaa n lingi sana😂😂😂
2026-09-06 07:23:17
1
hopwi18
Ms_Hopwi18 :
huko kwenye Hisia tumeshatokaaaaaa....
2026-09-05 18:20:26
4
user5543681371831
binti ya mama ake :
saizi nimezima isia nawasha akili lakini ugomvi auishi kila siku ni kugombana tu adi nachoka mm
2026-09-05 20:26:02
3
fetty6106
fetty :
nilitumia akili saiv nmeblokiwa kote yan cjui mungu alitupaga nn ukiona kuna kitu moyo unakwambia kitu kiuhalia huwa kipo moyo haudanganyi
2026-09-05 21:28:25
2
momov375
Momove💞 :
Naomba mtumieni huyu mtu wangu mana ndo tuko hapo
2026-09-06 04:05:04
0
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About